Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

Miezi 10 bado mdogo. Mimi dada angu mtoto wake nae alikuwa mweupeee sana usoni. Mwilini maji ya kunde, na hapo wazazi ni brownish tu. Unaweza hisi katoto kalikuwa kanapakwa vipako maybe.

Kale katoto kalipovuka miaka mi3, kaaanza kufifia mdo mdo. Mpk sahiv kameshakuwa keusi.
 
Ndio maana tukizaa watoto waliofanana na baba zao tunashukuru Mungu japo wakati mwingine tungetamani wafanane na sisi.

Hebu vuta picha mtoto anaanza kutiliwa mashaka jamani, mwisho wa siku ukute ni wakwako, hata akijakuwa tajiri hatakutunza uzeeni😔
 
Kweli Kabisa hatomtunza aisee
 
Mkuu ACHA hizo sahau kabisa hayo unayowaza!!

Ki genetics wewe na mkeo mnaweza kuwa phenotypically black yaani kimuonekano wewe na mkeo kwa nje lakinj Kuna weupe wa nasaba zilizojificha yaani white recessive gene Kwa wote we na mkeo Sasa basi

Ikitokea Ile rangi nyeupe iliyojificha ikaungana na ya mkeo nyeupe iliyojificha atazaliwa mtoto mweupe ambaye ana nasaba zote ambazo zilijificha Kwa wazazi wote!!

Lakini mtoto huyo utafanana nae viganja au vidole vya miguuni au masikio au rangi ya macho Ile brightness ule mng'ao wa macho Yako !

Kama mtoto ni WA kiume kaangalie structure ya scrotum yaani mfuko unaobeba pumbu pia Kuna similarities hata kwenye dick!angalia dick yako ipoje halafu angalia ya mtoto kama ni WA kiume!!!

Ishu ya rangi sio factor kabisa ya kumkataa mtoto!!

Ndio maana unaweza Kuta wazazi Wana ngozi ya nyeusi.wote lakini wakazaa alibino kabisa !umewahi jiuliza tatizo lilikua Nini!!?
 
fala kwenye mawazo ya kifala
 
Hakizai haramu, kuna wapumbavu fulani walihararisha uhuni.....😅😅😅
 
Hizi akili watu mnazipata wapi? Aliyekuambia wazazi wote wakiwa.weusi hawawezipata mtoto mweupe? Unajua asili yako wewe? Mzazi wangu (baba) alikuw weupe na nywele za singa, mama pia alikuwa mweupe sana ngoma imekuja kwa watoto rangi ni mchanganyiko Kuna weupe, weusi na wale ambao si weusi wala weupe (maji ya kunde) na tumeishi na wazazi wetu vizuri hadi wazazi wetu walipomwitika Manani kwa wakati wao, Kama unataka kifanya tukio tukuone kwenye TV, yako mengi ya kufanya ila usimguse mtoto wala.mama yake, umeshindwa toa talaka wawe.mbali na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…