Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,457
- 615
Nadhani bra. Ni adult one ambaye unaelewa mambo haya xo ni ww kuangalia plans zako kimahusiano and kuheshimiana co kizuiz ktka malov wish u nice relation....!!
Wote mnatakana...naona mmalizane tu kiutuuzima!!
kuna majukwaa mengi mkuu..kwa nin usiende huko kungine..acha ufuska wewe maskini wa bara la giza!!...badala ya kuwaza mambo ya msingi unatuletea mambo ya mbebez!!...ndiyo maana wabongo hamuendelei!!...mnawaza ngono time zote!!...korobwenzo we!!.
kumbe?Daa, mkuu unachezea bahati.
Mtu hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe!
wanaotaka hayo mambo, hawayapati...
wanaoyataka, hayawapati...
double coincidence of wants!
a man who cannot make decisions on his own, delila will make for him!
Hii ya Delila mkuu duuuu c mchezo!
wanaotaka hayo mambo, hawayapati...
wanaoyataka, hayawapati...
double coincidence of wants!
a man who cannot make decisions on his own, delila will make for him!
Mtu hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe!
acha ufuska wewe maskini wa bara la giza!!...badala ya kuwaza mambo ya msingi unatuletea mambo ya mbebez!!...ndiyo maana wabongo hamuendelei!!...mnawaza ngono time zote!!...korobwenzo we!!.