Du hapo pa ringtone nakubali huwa wanakata miziki yao, mm siwalaumu tigo tu mbona hata airtel ukiweka sh 500 na kwenye modem na kuomba DATASIKU kabla ya kujie YES bundle ya 20MB inakwenda yote?
kuuliza nikaamiwa niweke zaidi ya 500/= na malipo yao yote lazima kuwe na ziada, na ukichelewa kuchungulia salio wanaikomba
sasa hivi imekuwa slowly sana airtel