princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Ushauri mzuriNgoja nami nitie neno;
Pole sana mkuu
ila mimi huwa naamini katika mawazo chanya, unaweza kuhangaika weeh ukaja kugundua tatizo lipo kwenye mzunguko wako wa maisha ya kila siku na ukaja kupona kwa jambo dogo sana kwasababu hio nakushauri usikate tamaa japo ni ngumu kwa nyakati hizi ila kadri unavyoamka kila siku tambua una nafasi ingine...
maisha huwa ni mbele kwa mbele! ukishindwa huku jaribu kule ukikwama hapa jaribu pale, kama umehangaika sana hawaoni tatizo jaribu hata wewe kufikiri nje ya box jichunguze lifestyle yako, hata wanaposema kama maisha yanakukataa Dar hamia mbeya huwa wanamaana! kubadili hali ya hewa ukapata mzunguko mpya w amaisha huwa ni tiba... ukifungua mlango mmoja unafungua mingine zaidi..
- kwenye maisha anagalia mbelee usitake kujua umeteseka kiasi gani kwa miaka mingapi! usitake kujua mwisho wako ni upi wewe nenda mbele kwa mbele ukijaribu hili na lile mpaka tiba sahihi itapatikana
simaanishi uwe desperate na kupona! hangaika ila ishi usisahau kuishi haijalishi unapitia nini pengine katika kuishi kuna tiba yako.
- Muachie Mungu afanye kitu juu yako maisha ni fumbo kubwa sana...na Mungu huwa ana njia zake za kujibu maombi yako.
maisha ni kama bahari sisi wafa maji sikuzote hatutaisha kutapatapa wewe unatapatapa na spinal mimi natapatapa na ujane na yule anatapatapa na mtoto mshenzi
kwahiyo kaza moyo usikate tamaa dawa ipo na kesho yako ni njema
Ahsante sana mkuu kwa kujari na ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili, ubarikiwe sana mkuuNgoja nami nitie neno;

Ahsante kwa ushaur wako mkuu
labda ni vidonda vya tumbo. nenda kajaribu kupima vidonda vya tumbo kwa kipimo kile kikubwa kabisa.Ndugu zanguni naumwa sana na spinal cord (hiki ni kinyama kinachofunikwa na uti wa mgongo upande wa nyuma kinaanzia shingoni hadi kiunoni)
Mimi panaponiuma sehemu mkabara na kifua (maumivu kama kidonda kimewekwa pilipili au nachomwa na moto pamoja na misuli kukaza iyo sehemu had mabegani)
Naomba kuuliza kuna mtu au ulimsikia amewahi kuumwa SPINAL TB (TB ya mgongo (ungwe mgongo) au spinal kushambuliwa na fangas?
Naomba msaada wa mawazo.
Nawasilisha.
View attachment 2664916
Tumbo huwa halinisumbui mkuu hata kidogo sina maumivu hayolabda ni vidonda vya tumbo. nenda kajaribu kupima vidonda vya tumbo kwa kipimo kile kikubwa kabisa.
lakini vidonda vya tumbo siyo lazima uumwe tumbo.Tumbo huwa halinisumbui mkuu hata kidogo sina maumivu hayo
vinahamiaga hadi kifuani.kwani uko na shida nyingine tofauti na ya meningioccocal hiyo?Tumbo huwa halinisumbui mkuu hata kidogo sina maumivu hayo
Watu wengine huwa akili zenu zinawaza nini? So wewe unadhani kwa ugonjwa huu mleta mada hajaenda hospital ila kaanzia hapa Jf? ShwainNenda hospital
Toka 2023!hautakufa hakika, jiandae kuzeekaAhsante kwa ushaur wako mkuu
Hivi ugali wa sembe hauna vimelea vya sukari kweli, nauliza tuSitumiagi mkuu hata vyakula vinanikataa ni ugal samak na parachi ndo mlo wangu usionisumbua
Hujawahi kuumwa seriouslyDaktari akinijibu hivyo
Nawarudia dirishani wateme hela yangu au niko radhi nilale selo
Sijui umewaza kwa katumia kiungo gani. Mungu akurehemuMgonjwa anaye taka kufa anachat kuomba msaada jamii forums hii hatari sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Jamaa ana mawazo ya kijima sana. Kwa akili yake anajua mgonjwa anachati humu kujifurahisha kumbw mwenzake anatafuta msaada kwa namna yoyote ileAfya isikupe kiburi ndugu mshukuru Mungu wewe ulie mzima
Ila cha moto nakiona mkuu nipo kwenye tanuluToka 2023!hautakufa hakika, jiandae kuzeeka
Mmmh! Labda mkuu nisikatae lakin ndo usiwe na dalili kabisa?lakini vidonda vya tumbo siyo lazima uumwe tumbo.
Sina mkuu ni hapo kwenye mgongo mkabala na kifua ndo panatatizovinahamiaga hadi kifuani.kwani uko na shida nyingine tofauti na ya meningioccocal hiyo?