Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
Siwezi kwakweli kila nikiwaza saivi amelala na mwanamke wake anafuliwa na mwanamke wake anapikiwa wanacheka pamoja wanafurahi huku mimi nateseka na baridi peke yangu Roho inaniuma najawa na wivu naogopa sana kuendelea naeDhamira yako ni njema utampata aliye sahihi kwako,.
Wenzio sikuizi hawataki walio single wanataka waliooa.
Wanaume ngoja tusome commentWanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi 😢
Kuna wakati unatamani ule hayo maisha na mtu unaempendaLove yourself mdogo wangu ...life is too short to love somebody else.Kula maisha
Kukua huku ni kugumuPole sana,... Ndio unakua sasa
Mara nyingi tuMmekulana mara ngapi kabla sijasema kit
Usi mwache huo ndo ushauri as long anakukula mjarabu kbsMara nyingi tu
ukifundishwa kumuacha utakuwa gaidi!.. hapo akili inataka kuacha hisia zinakataa!, hadi hapo ukijua ujishughulishe na nini utajua ufanye nini..
Ni afadhali niwe gaidi kuliko kuwa na moyo mwepesi kudanganywaukifundishwa kumuacha utakuwa gaidi!.. hapo akili inataka kuacha hisia zinakataa!, hadi hapo ukijua ujishughulishe na nini utajua ufanye nini..
We sema unataka bwana si aibu acha kuzungukaLabda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa
Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo
Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu
Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali
Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyuma😔
Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi 😢
Kwaiyo mimi ndio niishie kuliwa tu mkuu mwisho wa siku na mimi nataka nitengenezee familia yanguUsi mwache huo ndo ushauri as long anakukula mjarabu kbs
MmhWanaume ngoja tusome comment
Sawa nasubiriiChomoka Kwake Taratibu,
Nitakuchek Pm,ili Tu-exchange Cont.
Ndio unaelekea kukua... Likishapita ukalisahau ndio umekua 🤣Kukua huku ni kugumu