Nahisi kuachana nae

Nahisi kuachana nae

Pejokiss

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
227
Reaction score
117
Guyz kuna msichana mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtoto pamoja.

Japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amekuwa kila siku akinisihi nmuoe.

Nina wakati mgumu sababu kwanza dini zetu ni tofauti na kwa muda nilokuwa nae nahisi si msichana ninaehitahi kuishi nae.

Nishaurini watu wangu wa nguvu nifanyaje!
 
Guyz kuna dem mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtt pa1 japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amikuwa kila siku akinisihi nmwoe.Nna wakati mungu sababu kwanza dini zetu ni tofauti na kwa muda nilokuwa nae nahisi si msichana nnaehitahi kuishi nae. Nishaurini watu wangu wa nguvu nifanyaje!
Muoe si umeshamzalisha, vumilia tuu kama ulivyovumilia mimba na hatimaye mtoto! Ningekuona ungeila hata ya mkeka mkuu
 
Unasema kwa mda uloishi nae si msichana unaehitaji kuishi nae KWANINI??? Pili yeye yuko na nia ya kubadili dini?!
 
Huyoo ni chaguo laaaakooo...hata kama ni muislamuuuu...hata kama ni mzinziiiii...huyo ni chaguo laakoi 🎶🎵🎷🎹
 
月日十十木弓難一尸難月日十金戈月難十尸人火尸竹難大土難大弓田暓月難土日大月尸十尸弓月難十尸十
 
duh maisha haya basi tu.

Duuuuh yan we acha tu dada wawatu kajiachia kamzalia katoto hajaridhika kamfunua funua kama sufuria ya pilau msibani alaf mwisho wasiku jamaa anaanzisha Uzi kuwa anaachana nae jaman.......
jaman........
Jaman..........

MUNGU ANAKUONA.......aiseeeee
 
Kuna vitu vingine vinatia hasira! Ndiyo maana hili jukwaa huwa sipendi kuingia humu naweza pigwa life ban! We ulisha mzalisha tayari halafu unasema hutaki kumuoa unataka nani aje amuoe? Kuna wanaume wengine ni wa kuwabinya kende njoo huku!
 
Last edited by a moderator:
Mtu umemzalisha bado unamuita demu..muheshimu basi hata 'mdada' au 'mzazi mwenzangu'..
Anyway,umejua lini kama sio msichana unayehitaji kuishi nae? Baada ya kumzalisha au hata kabla?
 
Guyz kuna dem mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtt pa1 japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amikuwa kila siku akinisihi nmwoe.Nna wakati mungu sababu kwanza dini zetu ni tofauti na kwa muda nilokuwa nae nahisi si msichana nnaehitahi kuishi nae. Nishaurini watu wangu wa nguvu nifanyaje!

Kazi kuwazalisha watoto wa wenzenu na kuwaharibia maisha...mtenda hutendwa
 
Ndo wako huyo mbadiilishe km utakavyo then muoe ukimuacha n laana
 
Watu wako wa nguvu humu umewatoa wapi????

Mzazi mwenzio utamwitaje demu???

Anyway.... hebu nijibu kwanza

Mpaka unamtongoza....
Mnagegedana
Mnamimbana

Hukujua kuwa si wa dini yako wala hamuendani????

Guyz kuna dem mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtt pa1 japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amikuwa kila siku akinisihi nmwoe.Nna wakati mungu sababu kwanza dini zetu ni tofauti na kwa muda nilokuwa nae nahisi si msichana nnaehitahi kuishi nae. Nishaurini watu wangu wa nguvu nifanyaje!
 
Dini ndo imeanza kuwa kikwazo now? Tangu mwanzo Hukujua kama nyie ni wa dini tofauti?
 
Marriage is a voluntary union between a man and a woman with the exclusion of the third party,..

Kama hutataka kumuoa basi usimuoe wala asikulazimishe mtu..

Lakini hivi jiulize kama ushaanza kumuona mama ni mzigo je huyo mtoto utampenda kweli???

Au umedanganywa na watu wa kilingeni kwamba usioe halafu lea mtoto????

Well FYI:HUWEZI,
Wewe inaonyesha ni mdogo na umevamia majukumu makubwa ambayo hukujiandaa kuyabeba,....

Sasa angalia unavyomtesa mtoto,.atakuwa anaishi kama mkimbizi...

TULIZA AKILI NA OMBA USHAURI WA WAZAZI NA VIONGOZI WA DINI,..UTAPATA TU JAWABU
 
Sasa ushamzalisha unategemea nani mwingne wa kumuoa zaidi yako?
 
Muoe tu maana hamna namna, coz hukulazimishwa kumpa mimba na hilo swala la dini ndo umelijua leo?????? Ebu acha kumwaribia mwenzio future
 
Back
Top Bottom