Nahisi km nachelewa vile

Nahisi km nachelewa vile

Kawogo f

Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
31
Reaction score
32
Nipo mbele yenu wana jukwaa wenzangu nimeoa, na Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitatu sasa. Tatizo langu ni kwamba nimewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa miaka miwili hatukufanikiwa kupata mtoto. Tukaacha si kwasababu ya kutopata mtoto Bali Mimi nilienda chuo nayeye akaenda kusoma kwa bahati nzuri yeye akamaliza chuo akaolewa Mimi nikapata binti ht sikuhangaika ndani ya wiki binti mimba namtoto tunafanana sana nikapata mwanamke mwingine ndani ya wiki mimba. Lkn sasa Niko kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka was tatu hamna mtoto shida nini ndugu zangu naombeni ushauri wenu. Nakosa raha Mimi ni mwanaume.
 
Okay......
Kwahiyo tatizo lako ni kukaa kwa ndoa kwa mwaka tatu, ama shida ni mahusiano yako yakiopita hamkufanikiwa kupata mtoto na uliehusiana nae sasa amemaliza chuo
 
SIKU MKEO AKITOKA, FANYA KUKAGUA CHUMBA KIZIMA, HAKIKISHA HAKUNA UMEACHA UTAKUJA NIPA JIBU NINI UMEKUTA.

NB:NIKO SERIOUS NA HILI
 
Nipo mbele yenu wana jukwaa wenzangu nimeoa, na Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitatu sasa. Tatizo langu ni kwamba nimewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa miaka miwili hatukufanikiwa kupata mtoto. Tukaacha si kwasababu ya kutopata mtoto Bali Mimi nilienda chuo nayeye akaenda kusoma kwa bahati nzuri yeye akamaliza chuo akaolewa Mimi nikapata binti ht sikuhangaika ndani ya wiki binti mimba namtoto tunafanana sana nikapata mwanamke mwingine ndani ya wiki mimba. Lkn sasa Niko kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka was tatu hamna mtoto shida nini ndugu zangu naombeni ushauri wenu. Nakosa raha Mimi ni mwanaume.
Sawa. Weka picha basi
 
Okay......
Kwahiyo tatizo lako ni kukaa kwa ndoa kwa mwaka tatu, ama shida ni mahusiano yako yakiopita hamkufanikiwa kupata mtoto na uliehusiana nae sasa amemaliza chuo
Aiseee
Nimebaki mdomo wazi
 
Pole kwa kukosa raha. Nendeni hospitali mkafanye uchungizi mjue chanzo cha kukosa mtoto.

Kupata kwako mtoto huko nyuma sio kigezo cha wewe kutokuwa chanzo cha kukosa mtoto kwenye ndoa yako. Hivyo wote wawili mkafanyiwe uchunguzi.
 
mbegu zimeishia kule ulikokuwa unawapa mimba,,,, now umebakia na makinikia.....peleka hospital wakaayakague jomba....
 
Pole kwa kukosa raha. Nendeni hospitali mkafanye uchungizi mjue chanzo cha kukosa mtoto.

Kupata kwako mtoto huko nyuma sio kigezo cha wewe kutokuwa chanzo cha kukosa mtoto kwenye ndoa yako. Hivyo wote wawili mkafanyiwe uchunguzi.
asante ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom