Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
hahahahah mkuuu umenichekesha sana sasa nani kapotea hahahhah
Hebu mwambie huyo babu, wakati miye bado ujana wake alikuwa wapi?
We nyumba ndogo yangu unafanya nini hapa?
Yah, very hooot mkuu,,karibu sana,c ndo maeneo yetu uku
Mi na wewe bado hatujamalizana. vuta pumzi.
Halafu wewe huwa nakulia timing sana. Hapo aliyepotea ni umukagame but mleta mada kachemka thats why unaona members tunatumia fursa kutongozana katika thread yake.
mwacheni demu wetu
Asprin kavurugwa leo
Babu jina tu, umri niliukabidhi Chalinze pale.
haiwezekani foleni iwe kubwa hivi kwangu utafika lini
...kweliiii Babuu....naona wanakubananisha kweli babu...ngoja nikuagizie wine ya dompo uwakimbizeee....pambanaa ur royal majesty....haaaa!!!
haiwezekani foleni iwe kubwa hivi kwangu utafika lini
Halafu wewe huwa nakulia timing sana. Hapo aliyepotea ni umukagame but mleta mada kachemka thats why unaona members tunatumia fursa kutongozana katika thread yake.
..
...Hahaaaa....haya enjoy mkuu....leo niko hukuu KFC mida hii...!!!!
Taratibu mkuu, huyo masai dada kuna jambo hatujamalizana.
Taratibu mkuu, huyo masai dada kuna jambo hatujamalizana.