kichwa kinaniuma kwa kuwaza mwisho hasa ni nini..!!!?
hilo si tatizotatizo lingine kila kitu namfundisha mimi jinsi ya kuishi na mpenzi hadi kitandani...... uzuri ananisikiliza na anaheshimu yote nimwambiayo!!!!
kwenye form 4 kuna tatizo Heaven on Earth si unaelewa maisha ya sasa yalivyo!!!!
Unampenda toka moyoni moyo upi unazngumzia hapa....? Kwanini ulete hapa habari za zero form four...? Your not serious with your couple.