Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 665
- 902
Habari gani wana JamiiForums, tumaini langu ni kwamba Mko poa kabisa.
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni Kijana wa Kiume 29, Nina experience ya kuoa na kuachana na mwanamke ndani ya miezi miwili kwa sababu Tofauti za kidini zilizopelekea tukaachana, ambapo mimi nilibadili dini kitu ambacho hakikumfurahisha mwenzangu akaomba niandike talaka na tukafika hadil ngazi ya Serikalini huko mahakamani tukaachana.
Na baada ya hapo nikaingia kwenye mahusiano na mhaya mmoja nikawa naye kwenye mahusiano baada ya hapo nikawa nimejaribu kufuatilia nikaona tupo wengi kwenye List yake nikajitoa
Mwezi mmoja kabla ya huyu mke nikikutana na binti ambaye kwa muda nilikuwa naye kwenye mahusiano ila tukawa tunagombana tunakaushiana ila baadae akasema amenimiss akaja ghetto nikamkaza na baada ya wiki mbili akadai haoni siku zake (Menses) nikamuuliza unamanisha we ni mjamzito akasema ‘Yess’ nami nikamwambia poa. Tutalea ila nikamwambia umenifanyia maksudi hii kitu
Sasa nikawa nimeingia kwenye mahusiano mengine maana huyu tulikuwa tunapasha kiporo tu, mahusiano haya ni kwa Msichana mrembo wa kichaga. Toka mwezi wa 12 game zangu kwake zimekuwa mbovu mnoo kufikia kiwango cha kuhisi labda nimerogwa, baadhi siku gane napiga hadi mwenyewe najikubali, sasa game za namna hiyo ni 5/20...
Siku za nyuma, kiukweli na ukweli wote, Unakuta nina hamu na demu wangu ambaye ni mwanamke wa malengo naye, jogoo anaamka tu kipindi cha kwanza cha pili haamki tena. Sasa najitahidi kuwaza na kuwazua hii hali mbona si ya kawaida na inaniogopesha, Uhanisi nauona huo unakuja.
Inamaana inawezekana jogoo asiwike kabisa ..! Aliyefanya haya kaniweza
Leo nilikuwa na demu wangu nikawa na hamu nikaanza kumwandaa mara ghafla mshedede ukalala kabisaa as if ninatomasa mbusi yaani hainuki
Tatizo la nguvu za kiume sio Tatizo mpaka litakapo kupata, Am dying inside, najiona useless man .
I am very desperate , hata sijui nifanye nini. Nahisi nimerogwa kabisaaa