Nahisi Ex wangu amenitupia pepo linalomaliza nguvu zangu za kiume

Macbook pro

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
664
900
Habari gani wana JamiiForums, tumaini langu ni kwamba Mko poa kabisa.

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni Kijana wa Kiume 29, Nina experience ya kuoa na kuachana na mwanamke ndani ya miezi miwili kwa sababu Tofauti za kidini zilizopelekea tukaachana, ambapo mimi nilibadili dini kitu ambacho hakikumfurahisha mwenzangu akaomba niandike talaka na tukafika hadil ngazi ya Serikalini huko mahakamani tukaachana.

Na baada ya hapo nikaingia kwenye mahusiano na mhaya mmoja nikawa naye kwenye mahusiano baada ya hapo nikawa nimejaribu kufuatilia nikaona tupo wengi kwenye List yake nikajitoa

Mwezi mmoja kabla ya huyu mke nikikutana na binti ambaye kwa muda nilikuwa naye kwenye mahusiano ila tukawa tunagombana tunakaushiana ila baadae akasema amenimiss akaja ghetto nikamkaza na baada ya wiki mbili akadai haoni siku zake (Menses) nikamuuliza unamanisha we ni mjamzito akasema ‘Yess’ nami nikamwambia poa. Tutalea ila nikamwambia umenifanyia maksudi hii kitu

Sasa nikawa nimeingia kwenye mahusiano mengine maana huyu tulikuwa tunapasha kiporo tu, mahusiano haya ni kwa Msichana mrembo wa kichaga. Toka mwezi wa 12 game zangu kwake zimekuwa mbovu mnoo kufikia kiwango cha kuhisi labda nimerogwa, baadhi siku gane napiga hadi mwenyewe najikubali, sasa game za namna hiyo ni 5/20...

Siku za nyuma, kiukweli na ukweli wote, Unakuta nina hamu na demu wangu ambaye ni mwanamke wa malengo naye, jogoo anaamka tu kipindi cha kwanza cha pili haamki tena. Sasa najitahidi kuwaza na kuwazua hii hali mbona si ya kawaida na inaniogopesha, Uhanisi nauona huo unakuja.
Inamaana inawezekana jogoo asiwike kabisa ..! Aliyefanya haya kaniweza

Leo nilikuwa na demu wangu nikawa na hamu nikaanza kumwandaa mara ghafla mshedede ukalala kabisaa as if ninatomasa mbusi yaani hainuki

Tatizo la nguvu za kiume sio Tatizo mpaka litakapo kupata, Am dying inside, najiona useless man .

I am very desperate , hata sijui nifanye nini. Nahisi nimerogwa kabisaaa
 
Ukute wewe ndio uliyeshika nafasi ya pili kule upata pantoni unafikiri utapata wapi hamu.

Mkuu wakati mwingine mwili unakua hautaki kikubwa jitulize usiwe na hofu mambo itakua poa
 
Mkuu stress na mengineyo utayapata kwa wataalamu kama mazoezi na aina za vyakula na matunda yenye Zinc utasema umerogwa kumbe ni wewe mwenyewe...
 
Ukute wewe ndio uliyeshika nafasi ya pili kule upata pantoni unafikiri utapata wapi hamu.

Mkuu wakati mwingine mwili unakua hautaki kikubwa jitulize usiwe na hofu mambo itakua poa

Daah mzee, lakini mbona kiuno changu au eneo la kiuno kwa ndani kama limechoka muda wotee ?? Game ikikubali basi unakuta kukojoa haraka kama kuku. Bao la pili kulipata ndio kasheshe kitu ambacho awali haikuwa hivyo.
 
Ukikaa pekeako,uki watch porn vip inakuja?

Hamna mzee, yaani mpaka ile mtu nikae muda sasa bile sex labda mwezi ndio naeza kupata hisia ila ikifika time ya game, kimoja tu alfu cha pili hamna tenaaa . Mwanzo mademu zangu kabla ya hawa, walikuwa wananisifia kuwa nina nguvu sana maana nilikuwa na uwezo wa kuunganisha Ile baada ya kumwaga na kuingia bai la pili.
 
Labda ivo mkuu
Ila unalowaza litaendesha akir yako,itafikia time hautapiga kabsa
 
jifunze kula karanga mbichi....na mihogo...harafu sio lazima uweze kuunganisha mabao...muda mwingine ni bora kila ukimaliza bao moja unaenda kuoga ili kuupa mwili muda wa kupoa.

matatizo hayo yapo ukiona yanazidi nenda hospitali na mwenzi wako mkapime...magojwa yote hadi magonjwa makubwa isije ikawa unapewa taarifa kuwa mwenzio sio mzima .
 
Habari gani wana JamiiForums, tumaini langu ni kwamba Mko poa kabisa.

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni Kijana wa Kiume 29, Nina experience ya kuoa na kuachana na mwanamke ndani ya miezi miwili kwa sababu Tofauti za kidini zilizopelekea tukaachana, ambapo mimi nilibadili dini kitu ambacho hakikumfurahisha mwenzangu akaomba niandike talaka na tukafika hadil ngazi ya Serikalini huko mahakamani tukaachana.

Na baada ya hapo nikaingia kwenye mahusiano na mhaya mmoja nikawa naye kwenye mahusiano baada ya hapo nikawa nimejaribu kufuatilia nikaona tupo wengi kwenye List yake nikajitoa.

Mwezi mmoja kabla ya huyu mhaya nikikutana na binti ambaye kwa muda nilikuwa naye kwenye mahusiano ila tukawa tunagombana tunakaushiana ila baadae akasema amenimiss akaja ghetto nikamkaza na baada ya wiki mbili akadai haoni siku zake (Menses) nikamuuliza unamanisha we ni mjamzito akasema ‘Yess’ nami nikamwambia poa. Tutalea ila nikamwambia umenifanyia maksudi hii kitu.

Sasa nikawa nimeingia kwenye mahusiano mengine maana huyu tulikuwa tunapasha kiporo tu, mahusiano haya ni kwa Msichana mrembo wa kichaga. Toka mwezi wa 12 game zangu kwake zimekuwa mbovu mnoo kufikia kiwango cha kuhisi labda nimerogwa, baadhi siku gane napiga hadi mwenyewe najikubali, sasa game za namna hiyo ni 5/20...

Siku za nyuma, kiukweli na ukweli wote, Unakuta nina hamu na demu wangu ambaye ni mwanamke wa malengo naye, jogoo anaamka tu kipindi cha kwanza cha pili haamki tena. Sasa najitahidi kuwaza na kuwazua hii hali mbona si ya kawaida na inaniogopesha, Uhanisi nauona huo unakuja.
Inamaana inawezekana jogoo asiwike kabisa ..! Aliyefanya haya kaniweza

Leo nilikuwa na demu wangu nikawa na hamu nikaanza kumwandaa mara ghafla mshedede ukalala kabisaa as if ninatomasa mbusi yaani hainuki .

Tatizo la nguvu za kiume sio Tatizo mpaka litakapo kupata, Am dying inside, najiona useless man .

I am very desperate , hata sijui nifanye nini. Nahisi nimerogwa kabisaaa
Ilishawahi kunitokea. Tafuta mtaalamu inatibika
 
Ilo pepo umekutana nalo au unahisi tu,,,husiombe kukutana na mapepo.
Vuta pumzi,,relax jiamini tena,,fanya mazoezi ,,,kunywa maji mengi,,,
 
Back
Top Bottom