Nahisi ex wangu alinipa limbwata

Nahisi ex wangu alinipa limbwata

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi

Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana

Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
 
Hamna limbwata kisaikolojia kama ex wako haujamtoa akilini basi hata yeye ndo ivyo ivyo amin nakuambia sio kawaida.
 
Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi

Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana

Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
Tafuta mwanamke mzurii zaid yake afu ustasahau
 
Dawa ya moto ni moto lakini hata maji machafu yanazima moto.
Mkuu tafuta digidigi, kula.sana, ukimaliza tafuta zilizonona kula zaidi. Miez 6 tu hautakumbuka hata jina lake.
Ukitaka ushauri wa kizungu, nenda gym, tengeneza bode la mwajuma nione af uwe na hela. Utawapata wakali zaidi yake
 
Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi

Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana

Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
Pole sana mkuu songa mbele nyuma mwiko!!
 
Kama kipindi unaishi nae alikupenda kwa moyo wote na ulikaza ubongo kwa kuona hawezi kumove on wakati wewe huna mwanamke mwingine wa kukupa jeuri zaidi ya kujivunia upendo wake.

Hilo huwa ni zaidi ya limbwata kwa sababu unataka kurudisha nyuma maisha ili awe kama mwanzo na wewe unaweka nguvu kujiweka sawa ili yale mapungufu ya kipindi hicho aliyokuambia yasionekane muendelee sawa ila kwa sasa ukifanya hivyo anakuona anakumudu na ushajichanganya kikubwa simama futa habari zake, usimtafute,usimpe kipaumbele na yeye atajua umuhimu wako kwa hiki kipindi ulichozea kumtafuta ataona kuna kitu hakipo (mtakua pamoja ila hutakiwi kua unaonyesha kumuhitaji sana) kipindi utapunguza mazoea atafanya tathimini ujirudi uwe kama sasa na hapo utafanikiwa .

Natamani niwe kwenye bongo zako nikusimamie ila ndo hivyo haiwezakani kikubwa uwa huo udhaifu unaoona bila yeye maisha hayaendi na kujihisi huwezi pata kama yeye na usijione umekosea pahali.

vilevile wanawake huwa wanatulisha madawa kibao kama wanatupenda au una uwezo na anaona hawezi kukumudu sasa ikitokea kakulisha na kamove on hapo ndio shida huanzia hata coz hata upewe limbwata kiasi gani u never loose all ur common sense.

u will not act like a mashine.

kwa mtazamo wangu naona wewe upo fungu la kwanza au ulimpenda sana kiasi haoni hamu yoyote juu yako.

Although inategemea na mpenzi wake mpya yukoje kama ni mwanaume haswa au ni Alfa Grade A hawezi kukumbuka Mzee imeisha hiyo.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi

Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana

Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
Tunasikitika kumpoteza askari wetu mashuhuri kwani amestaafu ghafla baada ya kuanguka ndani ya penzi na kushindwa kusimama kabisa....atakumbukwa kwa ujasiri wake. Taarifa ziwafikie.
 
Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi

Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana

Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
Kwishaaa habari
 
Tafuta hela mzee kumsahau hata week haifiki.
 
Back
Top Bottom