Mkuu uko chuo cha biblia au madrasa au chuo kikuu, ili nijue naanzia wapi kutoa ushauri wangu.Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi
Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k
Sasa wakati nikiwa pale dukan binamu huyu lazima aje kununua Vitafunwa pale mara nyingi ananiomba nimuongezee nyongeza addition au anatabia mfano ananunua vitu vya elfu 1 anaongezea moja anasema nimlipie mimi kila siku ananambia hivo ananunua anajipngezea ananiangalia kwa tabasamu anasema moja nimejiongeza utanilipia huko[emoji3526]
Sasa siku zinaenda zinaenda siku moja nikamzingua alimtuma mdogo upande wa kaka yake pesa haikutosha nikamrudisha baada ya dakika kama 2 yule mtoto alirudi na pesa imekamilika nikampa sukari aliokua akiitaka akilini nikaamini yule binamu atanichukia na hata taka kuniona tena [emoji57]
Zikapita siku 2 hajaja tena pale Dukan mtoto wa kiume nikaanza kuwaza eeeh nishaharibu u dugu [emoji17] ila nikawaza zikipita siku 3 hajaja basi na mimi napotezea[emoji2740]
Siku ya 3 akaja kapendeza kinoma kama kawaida anataka vitafunwa ila stori nilizowahi kuzipata turudi nyuma kidogo kulikua na mtoto wa kike mwingine ananikubali sanaa alikua nae anamazoea ya kuja dukan pale sasa akimkuta binamu yule alikua anammindi sana alifikili ni mpenz wangu kumbe ni cousin tu sasa akamwita nje akamuwashia moto cousin wangu sikujua waligombana nini lakin yule cousin alikuja kunambia yule dada ninar mkuta hapa ni mtu wako nikamjibu hapana kwa kuficha ukweli
Sasa sikutaka kumuuuliza sana na ilionekana yeye cousin kakasirika sana ukaribu wangu na wale watu lakin siku wale wadada wakaondoka
Na mimi hom nikabaki peke ang maza kaenda harusini Dsm cousin akaniletea chai asubuhi kazin bila kuomba na chakula cha mchana kesho piaa asubuhi akaniuliza chai umekunywa?[emoji3526] Mmmmmh hiii care ilinivuruga kabisaaaaaaaaaaa
Sasa turud kule baada ya kuacha kukasirika siku ya tatu kaja akaja tena siku ya 4 na simu yake anashindwa ku downliad applications kupitia unknown source APK FILE sasa akaniita nitoke nje ya duka nilipotoka nikawa naweka app kwa simu yake huku akiwa close sana [emoji3526][emoji3526] mtoto ananukia marashi mazuri sana siku moja nilimwambia unependeza akajibu Ahsante.
Sasa mimi najiuliza huyu cousin ni pisi kali sana wakulukungwa nyie mmepata picha gani hapaa [emoji17][emoji17][emoji17][emoji125] niko dilema
Na waombe lisiote, kwani watanyanduana likiota... 😂Wote muna pepo la uzinzi ambalo halijaota mapembe
Watoto wanawaza kulanduana tuNa waombe lisiote, kwani watanyanduana likiota... 😂
Kuwa makini utafilisi duka, rejea wimbo kazi ya dukaniMwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi
Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k
Sasa wakati nikiwa pale dukan binamu huyu lazima aje kununua Vitafunwa pale mara nyingi ananiomba nimuongezee nyongeza addition au anatabia mfano ananunua vitu vya elfu 1 anaongezea moja anasema nimlipie mimi kila siku ananambia hivo ananunua anajipngezea ananiangalia kwa tabasamu anasema moja nimejiongeza utanilipia huko[emoji3526]
Sasa siku zinaenda zinaenda siku moja nikamzingua alimtuma mdogo upande wa kaka yake pesa haikutosha nikamrudisha baada ya dakika kama 2 yule mtoto alirudi na pesa imekamilika nikampa sukari aliokua akiitaka akilini nikaamini yule binamu atanichukia na hata taka kuniona tena [emoji57]
Zikapita siku 2 hajaja tena pale Dukan mtoto wa kiume nikaanza kuwaza eeeh nishaharibu u dugu [emoji17] ila nikawaza zikipita siku 3 hajaja basi na mimi napotezea[emoji2740]
Siku ya 3 akaja kapendeza kinoma kama kawaida anataka vitafunwa ila stori nilizowahi kuzipata turudi nyuma kidogo kulikua na mtoto wa kike mwingine ananikubali sanaa alikua nae anamazoea ya kuja dukan pale sasa akimkuta binamu yule alikua anammindi sana alifikili ni mpenz wangu kumbe ni cousin tu sasa akamwita nje akamuwashia moto cousin wangu sikujua waligombana nini lakin yule cousin alikuja kunambia yule dada ninar mkuta hapa ni mtu wako nikamjibu hapana kwa kuficha ukweli
Sasa sikutaka kumuuuliza sana na ilionekana yeye cousin kakasirika sana ukaribu wangu na wale watu lakin siku wale wadada wakaondoka
Na mimi hom nikabaki peke ang maza kaenda harusini Dsm cousin akaniletea chai asubuhi kazin bila kuomba na chakula cha mchana kesho piaa asubuhi akaniuliza chai umekunywa?[emoji3526] Mmmmmh hiii care ilinivuruga kabisaaaaaaaaaaa
Sasa turud kule baada ya kuacha kukasirika siku ya tatu kaja akaja tena siku ya 4 na simu yake anashindwa ku downliad applications kupitia unknown source APK FILE sasa akaniita nitoke nje ya duka nilipotoka nikawa naweka app kwa simu yake huku akiwa close sana [emoji3526][emoji3526] mtoto ananukia marashi mazuri sana siku moja nilimwambia unependeza akajibu Ahsante.
Sasa mimi najiuliza huyu cousin ni pisi kali sana wakulukungwa nyie mmepata picha gani hapaa [emoji17][emoji17][emoji17][emoji125] niko dilema
Dhambi ulisikia wap acha kupotosha jamii,binamu ruksa kuoana.Kwa huu uandishi wako ni Dhahiri kabisa kuwa bado u mchanga sana kiumri na kiakili
Sasa naomba nichukue tu fursa hii kukumbusha(labda umesahau au hujui) kuwa maandiko matakatifu yanakataza kabisa kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya ndugu lakini pia
Kisheria ni kosa la jinai kutoka kimapenzi na ndugu yako
Hivyo basi acha kufikiria mambo yasiyofaa kumwelekea huyo binamu yako,muoneshe msimamo thabiti muepeuke ili ujiepushie dhambi zisizo za lazima na majuto ya baadae ya kihisia.coz mambo mengi sana tunayoyafanya within the foolish age baade huwa yanatuumiza sana na kutupa maswali mengi ya kwa nini nilifanya vile au niliamua vile
All the best kijana.
Tukiwa watoto hao ndio tulikuwa tunajifunzia. na hata ukienda kwa mjomba au shangazi, wanakuacha ucheze nao, na hata wakimuita yeye aje akusalimie wanasema njoo msalimie mumeo.Mi mwenyewe nawaza apa naona ka.a binamu upande wa mama mdogo ndio jau ila hawa upande wa shangazi dadenya naona kama mali yangu vileeee[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ni washangazi, nakushauri acha uzinzi, ni dhambi.Uyu wa kwangu wa shangazi mazeee[emoji3061][emoji3064]
Daah asee kwelkama ni washangazi, nakushauri acha uzinzi, ni dhambi.
Hahahhahaa[emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utoto raha
Ayaaaaa kuuuumbe[emoji3526][emoji3526][emoji3526]Dhambi uliskia wap acha kupotosha jamii,binamu ruksa kuoana.
Manjonjo tu ya uandishi mi mwenyewe hapa sielewi sasa nan anamtaka mwenzieMbona wewe ndo husomeki?
SawaDhambi ulisikia wap acha kupotosha jamii,binamu ruksa kuoana.
Nimechek sana hii[emoji23][emoji23][emoji23]Najua unataka tuhalalishe ili siku za mwisho ujitete tulikuunga mkono wanazooni wa jf