kwa huu uandishi wako ni Dhahiri kabisa kuwa bado u mchanga sana kiumri na kiakili
sasa naomba nichukue tu fursa hii kukumbusha(labda umesahau au hujui) kuwa maandiko matakatifu yanakataza kabisa kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya ndugu lakini pia
kisheria ni kosa la jinai kutoka kimapenzi na ndugu yako
hivyo basi acha kufikiria mambo yasiyofaa kumwelekea huyo binamu yako,muoneshe msimamo thabiti muepeuke ili ujiepushie dhambi zisizo za lazima na majuto ya baadae ya kihisia.coz mambo mengi sana tunayoyafanya within the foolish age baade huwa yanatuumiza sana na kutupa maswali mengi ya kwa nini nilifanya vile au niliamua vile
all the best kijana.