Nahisi bado nampenda

ha ha ha ha ha ha, swali la kwanza hii lotion ya nani? Jibu ni ya mdogo wangu kaisahau kwenye begi. Likaibuka la nguo jamaa akasema ni za dada yake(mwanzo lotion ya mdogo wake). Huyu jamaa kiboko. Ukikamatwa ni vigumu kudanganya
 
hata hao wanaume wenu watakaokuja kuwaoa mnawadhalikisha sana.. mtu unageuzwa geuzwa kama chapati..

miezi miwili tu unalala kwa mwanaume sio mumeo..

ndio maama vijana wengi kuoa wanasits sits nowdays. maana ni kula makombo tu
 
swala kafanikiwa kuchomoka kwenye makucha ya simba halafu badala ya kukimbia abarudi kuhakikisha kweli kama ni simba au la.....
 
 
Mmmmmh dada..miez miwili yote hayo?kumfanyia usafi..kulala kwake hadi asbh...ngono???

Ushauri..pole najua ina kuuma sana as ulidhani ni wako na yupo serious lakikni ninkiazi tu alikua anapita.kaza moyo.usiwe dhaifu na usimtumie tena text wala kumpgia .futa namba zake zote.japo ziko kichwani lakin hadi uandike utapata ujasiri wa kuishia njian na kugairi kumpigia.kaza moyo binti.huyo si wako
 
Umesema umemaliza chuo uliposema it's over ulijua maana yake? afu ukajibiwa vzr " maisha mema " SMS hujajibiwa jipeleke upigwe ngumi sasa hv mpka atumie teaching aid et?
 
hata hao wanaume wenu watakaokuja kuwaoa mnawadhalikisha sana.. mtu unageuzwa geuzwa kama chapati..

miezi miwili tu unalala kwa mwanaume sio mumeo..

ndio maama vijana wengi kuoa wanasits sits nowdays. maana ni kula makombo tu

Yaan utamu unaisha kabisa
 
Poleeee,,,,,,vumilia, maumivu ya sasa ni madogo kuliko utakayoyapata Kama utarudi tena kwa huyo bazazi wa mapenzi

Wako wengi siku hizi na huwezi kuwajua mpaka yakukute, cha maana ni kujifunza kutokana makosa
 
bado unampenda! endelea kumpenda aje akutoe filigisi, hivi vyuo siku hizi sijui vinatoe elimu gani hili suala la kuomba ushauri kweli? au tukuone nawe umeanzisha uzi? miezi miwili vituko hivyo unatakakujipa matumaini kuwa atabadilika?
 
Kuna kitu nlilijifunza katika maisha...labda kwa vile Experience ni mwl mzuri
1:Wanawake tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu....ukimuogopa Mungu hutasex kabla ya ndoa..japo ni ngumu but Inawezekana..me nshaamua kuchukua hatua naa sitaki kumuangisha Mungu katika hilo

2:Tabia ya kujirahisi in the name of love..relationship ina mwezi ushaanza kwenda kwa jamaa na kulala kama mke na mme iwe mwiko kwako

3:Muoneshe mwanamme yale usiyoyapenda mwanzoni kabisa ili usije ukamuonesha baadae akakuona umechange

4:Jithamini na kuwa na Msimamo binafsi...asikudanganye uongo mwepesi na we ukakubali kirahis

5:Usimpe mwanaume nafasi ya kukufaham kirahis rahis tu Inside and out,madhaifu yako,Atakuplay
 
pole sana naona unatumia mapenzi kufikiri.
 
Dada unatafuta bp hapo.Tubu mrudie MUNGU wako anza kwa upya.Hapo hakuna mapenzi,kumbuka kuna magonjwa,tulia utapata wako tu.
 
pole sana DD Belie, ur heart is broken!!!
But You can't change yesterday, it's beyond your control!!!
Keep calm, let ur mind think twice bfo u dare repeat ur mistakes!!
mistakes are there for us to learn, change & grow!!!
Now it's ur time to use your MIND not HEART to decide wisely!!!
There's future ahead of you, be grateful & to relax try to forgive the past!!!
May God help You through.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…