Nahisi bado nampenda

Hapo una chako mumie.Shika time yako na uendelee na mambo yako
 
Pole sana bt with tym utamsahau tu jikaze dunia ndo iko hivyo usirudiane nae hata kwa dawa atakutenda utalia machoz ya damu
 
Fanya yako. Hakuna mapenzi hapo, kama unataka kupotezewa muda endelea naye.
 
Dah! mhhhh! hivi kwa dalili zote hizo hujatambuwa kuwa huyo mpenzi wako hana
mpango na wewe?
 
Njoo uku upate mapenzi ya kweli mi Niko single mwaka wa 4 sasa.
 

una faida gani?ndani ya miezi miwili ushageuzwa geuzwa kama chapati,mara huku mara kule hata thamani kwake huna tena.muwe mnajistahi,atleast kwa muda wakati relationship zikiwa changa.sasa in two months keshaona udhaifu wako ndani nje na anaweza kukumwaga,ts very bad of u.jipange tu uanze upya.kama unataka mauza uza nenda kampe tena
 
Mmh Poleee its pain not only u even me. Bt jipe moyo achana nae huyo hana mapenz ya Kweli kwako na ukirudi tuu ipo siku atalala na mke mwingine mbele yako. Penzi halilazimishwi huenda hakuna
 
Poleee sana wewe ni mvumilivu . mmekaa miezi miwili tu mmeshagegedana mpaka kakuchoka, kabati ushalijua kama vile mmekaa mwaka. Jifunze usipanue panue miguu haraka, usijirahisishe sana jaribu ku value thamani yako na yeye ataithamini.
 

Hapo kwenye red.

Ushauri wa bure, siku yoyote unapolala na mwanamke/ume (kungonoka) uwe makini sana kutazama matukio yote yatakayokupata siku hiyo.

Inaweza kuwa ni mikosi kama taarifa za msiba, ugonjwa, kuachishwa kazi, ajali, ugomvi na familia nk.

Pia inaweza kuwa ni bahati kama kufaulu interview, kulipwa deni, kufanya mauzo ya kiwango kikubwa nk.

Kuna siri kubwa sana katika mahusiano na hasa kwenye tendo la ndoa. Wapo wanaofanikiwa mara wapatapo wenza na wengine ni mwanzo wa maangamizi.

Kwa bahati mbaya haya mambo kizazi hiki hatukupata bahati ya kuyaelewa, wazee wetu hasa wenye miaka zaidi ya sabini wanaelewa suala hili.

Kulingana na maelezo ya mdau, uhusiano huo haukuwa rizki hata kidogo, ni vizuri ukatazama alternative nyingine.

Vijana tuwe makini sana!
 
Mambo yapo waz kabisa unahtaji nin? Ni sawa uletewe tonge mdomoni halafu unambiwa kula!
 
Kwahyo sisi tukisema urudiane nae utaenda?
 
yani naungana na wewe kabisa, coz toka tumeanza uhusiano vitu vinakua vibaya kwa upande wang na kwake pia....
nilikua naita kwenye interview kila kukicha lakini nafail mambo yangu mengine yakawa hayaendi kabisa..

lakini huwezi amini nilipo achana nae nimepata kazi kirahisi sana na mambo yangu yanaenda vizuri kabisaa...... mi huwa naamini sana katika suala hilo uhusiano una maana kubwa sana katika maisha unaweza ukapata bahati au mikosi.

good mkuu umekumbusha vitu ving sana ulipoongelea hili...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…