Nahisi bado nampenda

Ivi mrembo nikulize huyu bwana Ana fimbo 2 au 1 Kama wenZie? Au yeye ndio mwanamme wako wa kwanza? Yani penzi miezi miwili nakumfulia kumpangia nguo akaaaa😳 ndio mana kakuona sie kakufananisha na beki 3 .. Cha msingi jikaze kike tafuta kazi kwanza ndio mengine yatafata achana nae, haiwezekani wewe kumuona na wana yeye akakufanya wa akiba...
 
Hayo ndio madhara ya wazinifu.Mapenzi hayajadumu hata miezi sita we umeshagawa uroda,umeona haitoshi umehamia kabisa.Kwa taarifa yako jamaa anakuona kicheche kama vicheche wengine.Na anajua kua chuoni ulikua unagawa kama njugu ndio maana hadi unahitim hujapata mwanaume wa kukuamini.NB:Uzoefu unadhihirisha kua mabinti wanaomaliza chuo bila wachumba au waume hua ngumu kupata mwanaume alietulia mtaani,ni eat and run tu.Kua makini na huyo kijana la sivo utaleta uzi mwingine hapa kua "Laazizi amekataa mimba".
 
Mapenzii ya cku hz ni ruksaa kushikanaa lkn c kushikianaa cm .rudii kwakee akakufanyee chomboo cha stareheee
 
tuliza roho.. ukimpa second chance atakuliza machozi ya dammm
 

kweli kabisakabisa!
 
duh ama kweli mvumilivu hula mbivu , ..

kama unaamini waweza kuvumilia zaidi ya hapo basi all the best
 
hamna bana we rudi kwake tena bana ! kwanza jamaa anajua malovee so banana nae hapo hapo
 
Dah aisee very interesting story. ! Be careful na hao watakao ku pm.
 
hakuna sababu ya kufuga NG'OMBE kama MAZIWA yanapatikana bure, hii ndo kauli imtokayo huyo bazazi wako kila alipokuwa akikufaidi na kucheza na akili yako..
 
Dada angu kama ulivomwambia itc over nakujibiwa poa udumishe hiyo, ukimrudia kitakachofuata ni route ya milembe. Ila pole sana.
umeona eeeh.. mwambie. huyo ni simba aliye mkosa kosa swala... akijirudisha ni meno ya mshipa mkubwa wa damu,,, chali chini.
 

i will tell you what not to do at aaaallll.USIRUDI KAMWE ukirudi anakumaliza vizuri. i had kind of the same or slightly different experience, unahisi unampenda coz amekaa kimya hajaja kujutia wewe unachokiona ni makosa...(trust me its his silence that is fooling you & kumiss mambo mambo) well hiyo ni sababu 1 wapo inayokufanya uhisi unampenda kwa kuona yeye ako innocent as haji omba samahani, as a matter of fact he doesn't care about you ndyo maana kala kimya koz ana dem wake madam "open your eyeees:A S-eek: not your legs dear". sorry this is the truth & i know it hurts sana.
ukijirudisha atakuKUla af atakubwaga tena live bila chenga. mwache huyo ni tapeli wa mapenzi.
 
sure thing yani...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…