Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 489
- 700
Kubaaababaaa labakeeee nasemahivi kimbiaaa man......toka nduki mzeiya.Zundukaaa.Ilikua hivi
Ni usiku wa jana majira ya saa 5 usiku hivi, niko na mpenzi wangu,alikuja ninapokaa akidai leo ana leo amemic tu kulala na mimi.
Sasa wakati huo yeye akiwa amejilaza kitandani wakati mimi nikiendelea kumalizia shughuli zangu kwenye PC.
Mara simu yake ikaita, hilo jina kuna namna fulani hivi alikua amesave, hali iliyonipa uwalakini kidogo. Lakini mara hii ya kwanza sikupokea, huyo mtu akapiga tena, nikasema labda atakuwa ni mtu muhimu so acha nipokee nimsikilize, lakini nilipopokea kwa jinsi yule alivyoanza kuzungumza nikagundua tu kwamba hapa huyu wala sio ndugu yake labda atakua ni msela ambae tunashare penzi.
Sasa mimi nilipogundua hivo na kutokana nilitaka kujua hasa yeye ni nani, ikabidi nianze kumsikiliza.
Nilipopokea akasema namuomba mwenye simu, mimi nikamuuliza kwani wewe ni nani? Maana hii simu nimeiokota
Akajibu mimi ni rafiki yake, nikasema urafiki ndio upige simu mda huu, ikabidi tu nimchane live, nikamuambia "acha kumsumbua huyu binti kwani ana mpenzi wake"
Jamaa akapanic kwa hasira akisema "huyo binti namfahamu kabla yako, alafu kuwa makini maana haujui ni nani unaongea nae, maana nikiamua kukutafuta hata leo ninakupata na nitakufundisha adabu"
Mimi nikamjibu "nakusubiri ufanye unachofanya kama wewe kidume"
Baada ya hapo sikuendelea kuongea na ile simu.
Ikabidi nimuamshe huyu bidada, nikamuuliza huyu anaepiga simu ni nani?
Akaanza kusema punguza hasira nikuambie, nikamumbie nakupa dakika 2 za kuniambia huyu ni nani au uondoke zako
"akasema huyu ni jamaa ambaye hajawai muona ila yupo mkoa X,na kwamba amaenza kumsumbua tokea mwaka jana mwezi wa 9"
Na baada ya hapo kukaingia tena text za wanaume wawili(2),nikamuuliza na hawa ni kina nani akajibu ni marafiki zangu, nikamuuliza ndio wanataka wachat na wewe usiku huu?
Akajibu kwamba hao ni marafiki tu nisiwe na wasi wasi
Na kwa kuwa penzi letu halina muda mrefu sana, huyu bidada alikua hatakagi nishike simu yake, lakini yangu huwa anashika akikuta text ya msichana lazima aulize huyu ni nan, na mimi bila hiyana huwa namjibu kabisa lakini yeye huwa ni mzito sana.
Ilibidi nimjibu tu kwamba kama unaona hawa ambao wanakutafuta muda huu ni wa muhimu endelea kuwa nao.
Alianza kulia na kuomba msamaha, lakini bado sijatoa maamuzi maana hata msg zake sijibu wala kupokea simu mpaka muda huu.
Sasa wakuu, ingekua ni wewe ungefanya uamuzi gani?
Nilipenda sana ule uzi wa Aplha male and Beta male...ukiwa Alpha male hupati shida kabisaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vijana mapenzi yanawatesa sana, mpaka jambo dogo kama hilo linakushinda kulitolea maamuzi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkoa X maana yake nini?
Very true comradeHauko mwenyewe. Wadada hawajui kujitetea ukiwakamata.
Inaonekana hii comment wakat unaandika ulikua Usha lowerSasa napitaje bila kucomment....
Mitraaanooo treeenaaa
Ahahahaha kwamba mwamba analeta uzunguSijaona sehwmu yoyote ukisema kuwa umemgegeda maana lengo la yeye kuja kwako ni alimic kulala nawe.
alafu wewe unaendelea kuchapa chapa marimba ya mzungu and then unashangaa why demu ana kuwa na wanaume wengine!
Be serious braza demu akija kwako marimba ya mzungu pembeni wee unachapa ile papuchi vizuri.
cc: joka jeusiNdio mkuu...kama ulikuta kashegegedwa basi probability ya kutulia na mgegedo mmoja ni ndogo sana.
Kwamba yeye mchapa kazi sana....papuchi imija unaisasambua vizuri marimba ya mzungu utaikutaga tuu inakusubiriaAhahahaha kwamba mwamba analeta uzungu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]... Doooh umenikumbusha kulowanishwa Ngoja nimtafute ...mwasha Moto achochee ukuniInaonekana hii comment wakat unaandika ulikua Usha lower
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji3059][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]... Doooh umenikumbusha kulowanishwa Ngoja nimtafute ...mwasha Moto achochee ukuni
Katika usimuliaji wake sioni Kama hii ni chai bali ni kweli kabisa. It's easy to judge when a person has never experienced the same situation.Kwa Mwanaume ukishahisi kuwa hili koloni sipo peke yangu Hama, Jitoe, acha Kabisa, Mapema iwezekanavyo.... Kinachofuata Ni Kuumia. Labda Kama Ni chai umeamua kutunywesha.
Ilikua hivi