Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
Haya tupoteze mawazo na nahau, ukiandika nahau, atakayetoa maana yake, naye anaandika yake:
amelala fofofo-amelala usingizi mzito.
Ana ulimi wa panga..... endelea....
Maana yake, Ana maneno makali.
Ana Betu Mnyago....
duh! Hii siijui, nakupa mji, nenda Lushoto
Maana yake, Ana maneno makali.
Ana Betu Mnyago....
Jibu lake ni....,
Ayaaa limenitoka!!!
Yuko bwax!Amevaa miwani
Ana uso wa Mbuzi
Sura ngumu.
Vasco da Gama...
amesahau kulewa
chemsha bongo