Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Jilipue kwa kidoti mkuu.Boksi tupa mbali huko!
Nimeamua kuhamia Kisarawe.
Natafuta chumba cha kupanga.
Mwenye taarifa zozote kuhusu vyumba vya kupangisha aingie PM, tafadhali.
Jilipue kwa kidoti mkuu.
Great thinker wa humu walisema wewe ni marehemu,
Huko kisarawe unataka ukamkule mkuu wetu
Nikimkula kuna ubaya?
Njoo Tandika mkuu, maisha poa sana, kama unapenda wamama wamejaa pia, wanapita muda wote wamevaa madela, huko nyuma kama wamefungia paka kwa jinsi yanavyotikisikaNajitoa mhanga kama ghaidi wa Al Keda..
Mkuu Usisahau MrejeshoNajitoa mhanga kama ghaidi wa Al Keda..
Lazma akuelewe mkuu kwanza manzi uzuri ana uzoefu wa kuhang na wanyamwezi kutoka kwa HasheemNajitoa mhanga kama ghaidi wa Al Keda..
Jana serikali kupitia kiongozi fulani wa kamati ya bunge niliona wanahimiza usambazwaji wa kondomu matumizi ya kondomu nchini.
Nyani babu hakikisha unapata boksi lako.
Ni hatari kiafya mkuu.Kisarawe sitotumia! Nzi kufia kidondani....