NAGU: Sikushinda uchaguzi kwa fedha za Lowassa

NAGU: Sikushinda uchaguzi kwa fedha za Lowassa

Hawa wamefikia hatua hii?? Kweli siasa mbaya sana.
 
mi ningeshauri rushwa ihalalishwe ili tujue kua ipo kila mtu awe anatoa hela mwenye hela nyingi ndo mshindi....
 
Kwa taarifa leo Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe atahutubia Mkutano wa Hadhara leo Kijijini kwa Nagu,
Endasak.

Tuutakie heri mkutano wao wa kukemea rushwa na ufisadi.
 
Hata ubunge nyie mnafikiri aliupata kwa kura halali? Magamba ule msemo wa sitatoa wala kupokea rushwa umekuwa nitoa na kupokes rushwa!
 
Back
Top Bottom