Kuwa na kundi la vijana wote wa hiyo kata, hasa boda boda yaani ukpita kila kijiwe uwe na chawa wako mmoja. Ukipita tu anaropoka Habari za saa hizi Mheshimiwa diwaniiii!!?
Wewe unarudisha salamaaa, unaenda kupiga nao stori kidogo. Unanunua konyagi kubwa unawaachia vijana wajibust kidogo.
Ukinyanyuka kuondoka wakupigie shangwe lakutosha DIWANIII, DIWAANII,DIWAANIII. Alafu wewe ukirudi kwenye chama unaenda kusema unakubalika na akina mama na vijana wote wa kata.