MBONA UMEGOMBEA CHEO KIDOGO KISICHO NA MSHAHARA? GOMBEA UBUNGE AU UKUU WA MKOAWana bodi Amani iwe juu yenu.
Awali nimshukuru Mwenyenzi Mungu kunifikisha Mwaka huu wa 2024 naamini pia atanivusha salama na kufika 2025 kwa maepnzi yake.
Iko hivi nimejipima nimeona sifa ninazo za kuwa kiongozi katika eneo langu la kiutawala.
Nina ushawishi wa kiasi flani
Kwenye moja ya chama nachotaka kukitumia kugombea
Changamoto niliyonayo ni kipato cha kufanya kampeni ndani ya chama hicho
Ili kipitishe jina langu.
Ushauri ninao uhitaji hapa nitapataje fedha za kufanya kampeni na kwa uzoefu wenu kata yenye vijiji saba
Inapaswa nitenge kiasi gani.
Pia kwa sasa nitumie mbinu gani ili nijipambanue (nijulikane) kwenye hii kata?
Karibuni kwa maoni,ushauri na maswali
Ongea na Wanachi, eleza maono Yako, wasikize pia wanataka kiongozi wa aina Gani na akatatue nini,Wana bodi Amani iwe juu yenu.
Awali nimshukuru Mwenyenzi Mungu kunifikisha Mwaka huu wa 2024 naamini pia atanivusha salama na kufika 2025 kwa maepnzi yake.
Iko hivi nimejipima nimeona sifa ninazo za kuwa kiongozi katika eneo langu la kiutawala.
Nina ushawishi wa kiasi flani
Kwenye moja ya chama nachotaka kukitumia kugombea
Changamoto niliyonayo ni kipato cha kufanya kampeni ndani ya chama hicho
Ili kipitishe jina langu.
Ushauri ninao uhitaji hapa nitapataje fedha za kufanya kampeni na kwa uzoefu wenu kata yenye vijiji saba
Inapaswa nitenge kiasi gani.
Pia kwa sasa nitumie mbinu gani ili nijipambanue (nijulikane) kwenye hii kata?
Karibuni kwa maoni,ushauri na maswali
Asante mkuu kwa maoni yako,Mkuu,Kwanza kabisa sikushauri ufikiri kutumia PESA kwa lengo la kupata UDIWANI hasa kama ni Mgeni kwenye SIASA.Kwa Kampeni ya Ndani ya Kata MOJA yenye Vjiji SABA Tengea kati ya 50,000 hadi 150,000 kwa kila kata kwa mwezi kwa kipindi hiki cha mwanzo kisha wakati wa Kampeni Uwe na Angalau Bajeti ya Milioni 6-hadi 15.
Jambo la Kuzingatia.Kama Lengo lako ni KUgombea Udiwani Mwakani.Basi anza kwa Kugombea Serikali ya Mitaa Mwaka Huu.Hii itakusaidia Kujipima,Kujifunza kula jongoo,Kujielewa iwapo kweli unaweza Purukushani za siasa.
Vyovyote vile utakavyo usitarajie kwamba KUWA na PESA ndio kutakupa nafasi ya Uongozi.Wakati mwingine inahitajika uwe na Mvuto kwa Jamii/Watu.Vile ili Kujenga nafasi yako zaidi kisiasa Onesha Nia ya KUUTAKA UBUNGE.Ili watu wakuzungumze kwa nafasi ya UBUNGE.Hiyo Itakusaidia kutengeneza Mazingira ya kufahamika na kufahamiana na watu.
Mwisho wa SIKU.Ili tukupe Mbinu za Kivita.Taja Chama,Jimbo na Mkoa Uliopo ili tuone Ushindani Uliopo Hapo.
Yaani mkuu hapa kwenye 150,000 ni kwa kijiji au kata?Mkuu,Kwanza kabisa sikushauri ufikiri kutumia PESA kwa lengo la kupata UDIWANI hasa kama ni Mgeni kwenye SIASA.Kwa Kampeni ya Ndani ya Kata MOJA yenye Vjiji SABA Tengea kati ya 50,000 hadi 150,000 kwa kila kata kwa mwezi kwa kipindi hiki cha mwanzo kisha wakati wa Kampeni Uwe na Angalau Bajeti ya Milioni 6-hadi 15.
Jambo la Kuzingatia.Kama Lengo lako ni KUgombea Udiwani Mwakani.Basi anza kwa Kugombea Serikali ya Mitaa Mwaka Huu.Hii itakusaidia Kujipima,Kujifunza kula jongoo,Kujielewa iwapo kweli unaweza Purukushani za siasa.
Vyovyote vile utakavyo usitarajie kwamba KUWA na PESA ndio kutakupa nafasi ya Uongozi.Wakati mwingine inahitajika uwe na Mvuto kwa Jamii/Watu.Vile ili Kujenga nafasi yako zaidi kisiasa Onesha Nia ya KUUTAKA UBUNGE.Ili watu wakuzungumze kwa nafasi ya UBUNGE.Hiyo Itakusaidia kutengeneza Mazingira ya kufahamika na kufahamiana na watu.
Mwisho wa SIKU.Ili tukupe Mbinu za Kivita.Taja Chama,Jimbo na Mkoa Uliopo ili tuone Ushindani Uliopo Hapo.
Pia hakikisha unawashirikisha wazazi wa kimwili na kiroho, upate baraka zao Kisha endelea na safari Yako,Asante mkuu kwa ushauri wako[emoji120]
Sawa sawa mkuu Rabbon naamini uongozi bora unatoka kwa Mungu shetani atakufurahisha kwa muda tuPia hakikisha unawashirikisha wazazi wa kimwili na kiroho, upate baraka zao Kisha endelea na safari Yako,
Kamwe usiende Kwa Waganga kujaribu kupata uongozi kupitia njia hiyo maana hutofanikiwa.
Unataka ukaongeze idadi yamafisiem?!! Mungu tuondolee pepo geni hili!!Nimeshataja mkuj Boban ni Chama tawala ambapo naona huku ndiko hiki chama kinafahamika
Mimi mzalando wa Taifa na wananchi wito wangu uko kwenye uongozi.Unataka ukaongeze idadi yamafisiem?!! Mungu tuondolee pepo geni hili!!
Tatizo kitendo cha kijiunga chama cha Mwenge akili zinapotea ghafra unakuwa zuzuMimi mzalando wa Taifa na wananchi wito wangu uko kwenye uongozi.
Tumpime mtu sio chama chake chama kinabeba watu wa kila aina
Nafananisha chama cha siasa kama bus ambalo linabeba abiria wa kila aina.
Hopefully umenielewa