Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
mkuu hata hao watanzania ambao unadhani hawapaswi kufa,kuna mda mchache wanautenga ili kuchangamsha akili.samahani sana kama nimekuudhi.watanzania kama nyie bora mfe tu tubaki na watu wa maana yaani katika vitu vya msingi umeona hilo ndio jambo la maana
kakaIvi kuna nini cha zaidi hapo kwa iyo shughuli?
Ivi kuna nini cha zaidi hapo kwa iyo shughuli?
Ivi kuna nini cha zaidi hapo kwa iyo shughuli?
Hahahahahaahaa hahahahahaaahaaa naaaaam nilitamani sana nipate hizo Code nimsikilize Shemeji yake mtu leo wakati anaagana na mashemeji zake
zali all white party sasa imekuwa ni talk of the the town,kila kijana anaongelea zali all white party ambayo inafanyika leo pale mlimani city.nimeona isiwe tabu,nimenunua code maalum ili ni-stream live online nikiwa huku kijijini kwetu.nimenunua code tatu,nani angependa nimgawie code mbili zilizobaki?.hii ingewafaa sana watu wangu wa diaspora.....aaah natania wakuu.:tonguez::tonguez:
View attachment 248401
Mie mwenyewe najiuliza sana. Ujue wabongo kama wamelogwa vle!!! Hawaifikirii shilingi kushuka thamani wanafkiria amsha popo tu.. Haya bhana. Kila mtu na lyf lake kweli!Ivi kuna nini cha zaidi hapo kwa iyo shughuli?
Mie mwenyewe najiuliza sana. Ujue wabongo kama wamelogwa vle!!! Hawaifikirii shilingi kushuka thamani wanafkiria amsha popo tu.. Haya bhana. Kila mtu na lyf lake kweli!
watanzania kama nyie bora mfe tu tubaki na watu wa maana yaani katika vitu vya msingi umeona hilo ndio jambo la maana