Nafuta Mtu mwenye uzoefu wa Dynamic Navision Function..

Nafuta Mtu mwenye uzoefu wa Dynamic Navision Function..

Ngoti mina

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
26
Reaction score
4
Nadhani kichwa kimejieleza kama unawezo huo nicheki ni muhimu mno but make sure una experience ya kutosha
nicheki kwenye ....0673 497 715
 
Hebu fafanua kwa kiswahilo hio dynamic navision Fx
 
Kama unauzoefu wa kutosha please nicheki ni muhimu sana but make sure una experience ya kutosha na hiyo kazi please na pia kama kuna mtu yuko dar es salaam unamjua please contact me
phone +255 673 497 715.
 
Naitumua sana sema ni mtaalamu kwenye department yangu, ila kwa system yote inabidi umpate mtu wa IT kabisa.
 
Back
Top Bottom