ELIFURAHA MAKOMBE
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 176
- 22
Mungu akuongoze kupata msichana mwema ili aje kuwa mke katka maisha yako maana si kazi rahisi kama unavyofikili kumpata mwenza piga magoti omba kwa munbu akujalie upate chaguo lako.
pole mi nina vigezo vyote ulivyovitaja tena nina vya ziada ila ndo nshaolewa