Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu nina shahada ya Sayansi ya Jamii iliyoegemea zaidi katika Industrial Psychology,Ninaweza pia kufanya kazi zinazohusiana na Human Resources.Zaidi nina-base zaidi katika ku-deal na Human Workforce na kuhakikisha kuwa Work performance yao inakuwa katika optimum level na Productivity yao inakuwa juu wakati wote.Asanteni!