Nafuta gari Saloon ya kufanyia biashara

Nafuta gari Saloon ya kufanyia biashara

kimbunga jnr

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
260
Reaction score
59
Iwe saloon iliyo kuu kuu kidgo tunaingia nae mkataba baada ya muda fulani gari inakuwa yangu
 
No yangu hiyo hapo 0682111140 kuliko kwenda kuwauzia wanaokata magari bora tufanye biashara wadhamin ninao tatizo msingi ndo sina nilitaka kwenda kukopa benk bahat mbaya nyumba yangu bado hazijatathimiwa nipo Kimara DSM.
 
Mkuu ni bora ungeandika kwamba unahitaji mtu akupe gari uwe unafanyakazi.
Ila suala la bodaboda ulete kwenye gari?
Bodaboda zenyewe siku hizi hakuna anaetaka upuuzi huo.Ingekuwa hivyo haya ma DC yoote kwa miaka yaliyomo njiani yangekuwa mali ya madereva.

Mikataba hiyo ilikuwa inaingiwa na watu wa bodaboda,na wengie ni wenye uelewa mdogo sana wa biashara na kutojiamini.Ndio maana wakawa wanaingia jiti kwa kusema kwamba baada ya muda unamuachia chombo kinakuwa mali yake.

Taxi kwa bei yake na ili ufanye kazi kwa mazingira mazuri ikiwa bado nzima kiasi si chini ya 6m - 7m.
Sasa we niambie deni hadi liishe liishe ni miaka mingapi,si chini ya mitatu,maana hapo kuna misiba,kuharibika na matengenezo kibaoo hasa mwaka wa mwisho.

Ushauri kwangu,badilisha tangazo,.wewe ingia mkataba kama Taxi Driver wa kawaida,kisha baada ya mwaka,unaanza kumtongoza bosi wako akuuzie gari,hapo itakupa akili ya kuweka akiba.Ila kwa mkataba wako huu ni tatizo sana na hakuna anaeweza ku risk kwa pesa nyingi namna hiyo.

Hawa wenye Taxi tu kwa kupeleka hesabu ya siku vurugu mtu,sasa wewe unafikiria itakuwaje.

Ni mtizamo wangu tu kaka.
 
Back
Top Bottom