Nafurahia Sana Makapi kuondoka CHADEMA.

Nafurahia Sana Makapi kuondoka CHADEMA.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,300
Reaction score
17,822
Nikiwa kama mtu wa kawaida, nisiyependa Siasa...

Nimejikuta nafurahia sana watu wasiokuwa na msimamo, waoga na wanafiki wakiondoka CHADEMA.
Nawaona hivyo as hakuna hata anayeshtuka kuondoka kwa wanaoondoka.

Nawaona kama makapi ndani ya CHADEMA.
Natamani makapi mengine yazidi kupukutika.
Hongereni CHADEMA.
Ushindi wenu unakuja.
 
Acha uzushi,unajifanya hujui siasa ilihali unafanya siasa?kama kweli hujui kama unafanya siasa basi ndiyomaana huwezi hata kutambua makapi yanatoka.wapi na yanaenda wapi,hivi mamvi ulimwitaje alipokuwa cc.....m?fredwaa,na huyo nyal ...je?mimi sina shaka chama chako ndicho kinasubiri makombo ya cc...m
 
kazi ipo...zote hizi ni element za kimaskini.
 
Nikiwa kama mtu wa kawaida, nisiyependa Siasa...
Nimejikuta nafurahia sana watu wasiokuwa na msimamo, waoga na wanafiki wakiondoka CDM.
Nawaona hivyo as hakuna hata anayeshtuka kuondoka kwa wanaoondoka.

Nawaona kama makapi ndani ya chadema.
Natamani makapi mengine yazidi kupukutika.
Hongereni Chadema.
Ushindi wenu unakuja.

Huo ukawaida wako ndio pia unatakiwa kuwaza na kujua kuwa, chadema haitapewa nchi kwa sababu bado haijulikani makapi na wasio makapi ni akina nani!
 
WE ARE AT WAR AGAINST OUR OPPRESSORS (CCM)
 
Nikiwa kama mtu wa kawaida, nisiyependa Siasa...
Nimejikuta nafurahia sana watu wasiokuwa na msimamo, waoga na wanafiki wakiondoka CDM.
Nawaona hivyo as hakuna hata anayeshtuka kuondoka kwa wanaoondoka.

Nawaona kama makapi ndani ya chadema.
Natamani makapi mengine yazidi kupukutika.
Hongereni Chadema.
Ushindi wenu unakuja.
Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia:
Dr. Silaa out ~ Lowassa in
Kafulila out ~ Nyarandu in
Agenda kuu Ufisadi
 
Nikiwa kama mtu wa kawaida, nisiyependa Siasa...
Nimejikuta nafurahia sana watu wasiokuwa na msimamo, waoga na wanafiki wakiondoka CDM.
Nawaona hivyo as hakuna hata anayeshtuka kuondoka kwa wanaoondoka.

Nawaona kama makapi ndani ya chadema.
Natamani makapi mengine yazidi kupukutika.
Hongereni Chadema.
Ushindi wenu unakuja.

Kwa hiyo CDM pia ilipokea makapi sio?! weka akiba ya maneno kwa ajili ya kesho!!
 
Back
Top Bottom