Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

Futa namba yake na mtafutie kiki ili mgombane, mdanganye kwamba umelala na baba ake mzaz ili akuchukie najua kila utakapo mtafuta yy atakuwa anakutukana matus mpaka na ww utakata tamaaa mpaka utapozoea ndo umwambie nn ulichokifanya.
 
Nashukuru nimepata ujumbe wako nitaufanyia kazi. Nimekuwa nikipambana ili mwanangu awe na maisha mazuri kumbe nalea mtoto wa mwanaume mwingine.

Usije nyumbani leo SELINA ROSE 'cause Nina hasira na wewe. Ingawa ndiyo nipo kwa mwanasheria akina ushauri jinsi ya kutoa talaka.

Inauma sana kulea mtoto wa mwanaume mwingine pale unapoaminishwa na mwenzio kuwa ni wako kwa maneno mazuri kama huoni mnavyofanana hilo pua, chogo et.
 
Niaje guys? Hope ur good.

Kuna cousin wangu ambae ni mtoto wa shangazi yangu, nimelelewa, kusoma na kukua kwao, nilienda hapo nikiwa std two baada ya baba kufariki, wazazi hawakua na ndoa, walipena tu mimba kama marafiki, mama alirudi mkoani kwao na amekua akiishi huko miaka yote

Nikiwa form three nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na huyo cousin wangu, wote tulikua boarding school, wakati wa likizo ndio tunakua pamoja, tumbo lao wapo wanne, watatu wasichana, yeye pekee ndio mwanaume, tumekuwa na uhusiano wa siri hadi chuo, mimi nilisoma sheria yeye alifanya bachelor of Commerce, baadae tukaanza kazi na kupata familia zetu, kiukweli tangu kuanza mapenzi sijawahi kumpenda mtu mwingine the way navyompenda huyu cousin wangu.

Nimemzoea mno, kiasi kwamba baada ya chuo tulikubaliana kila mtu atafute mpenzi mwingine maana uhusiano wetu hauna future kutokana na kuwa ndugu, nikapata mtu kazini lakini nilishindwa tukarudiana na cousin yangu, baadae ndipo nikampata huyu alienioa, lakini bado sikuweza kumsahau cousin, tunaendelea na uhusiano wetu hadi sasa kwa kuiba.

Nina watoto wawili wa huyu cousin yangu ingawa husband anajua ni wa kwake, hawajafanana sana na cousin yangu lakini ukimuona mtoto wa cousin yangu aliepata na mkewe na hawa mapacha wangu wanafanana kila kitu na huyo wa kule, sio kwamba nilizaa nae kwa bahati mbaya nilimbebea mimba purposely, yaani nilikua kama vile niko obsessed, nilikua kama vile bado naamini ipo siku tutaishi pamoja, lakini kadri miaka inavoenda uwezekano huo unapotea kabisa, ni shetani ndio amekuwa akinidanganya na sio akili yangu
huwa namwambia mume wangu kuwa watoto wamefanana na kule kwa shangazi yangu, Mungu ni wa ajabu, na yeye anasema amina.

Ni kweli kabisa mke wa cousin wangu huwa hatuelewani sijajua kwanini, ingawa hatujawahi kugombana ila ndio hivyo hanipendi kabisa, cousin yangu ameshasema kwa maslahi ya ndoa zetu tuachane for good, lakini kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuondoa moyoni, hata yey epia huwa anasema tu kwa maneno lakini tukionana tunakumbatiana hadi tunalia, naweza kujitahidi hata kwa miezi mitatu mnne lakini baadae nashindwa, namtafuta nambembeleza tunajikuta tumefanya.

Natafuta namna nimuondoe kabisa moyoni tuliache kabisa jambo hili kabla halijaleta madhara kwa pande zote, maana hadi sasa mwingine anaejua suala hili ni dada yake wanaefuatana nae, na ambae ameshatuonya sana tuliache bila mafanikio.

Naomba mnisaidie nifanye nini nivuke jaribu hili.

Asante

C BURE MUMEO ANA NYOTA YA YESU.....
 
Futa namba yake na mtafutie kiki ili mgombane, mdanganye kwamba umelala na baba ake mzaz ili akuchukie najua kila utakapo mtafuta yy atakuwa anakutukana matus mpaka na ww utakata tamaaa mpaka utapozoea ndo umwambie nn ulichokifanya.
kwa hiyo amsingizie mzee wa watu .. mama mtu kisikia itakuwaje?
 
Niaje guys? Hope ur good.

Kuna cousin wangu ambae ni mtoto wa shangazi yangu, nimelelewa, kusoma na kukua kwao, nilienda hapo nikiwa std two baada ya baba kufariki, wazazi hawakua na ndoa, walipena tu mimba kama marafiki, mama alirudi mkoani kwao na amekua akiishi huko miaka yote

Nikiwa form three nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na huyo cousin wangu, wote tulikua boarding school, wakati wa likizo ndio tunakua pamoja, tumbo lao wapo wanne, watatu wasichana, yeye pekee ndio mwanaume, tumekuwa na uhusiano wa siri hadi chuo, mimi nilisoma sheria yeye alifanya bachelor of Commerce, baadae tukaanza kazi na kupata familia zetu, kiukweli tangu kuanza mapenzi sijawahi kumpenda mtu mwingine the way navyompenda huyu cousin wangu.

Nimemzoea mno, kiasi kwamba baada ya chuo tulikubaliana kila mtu atafute mpenzi mwingine maana uhusiano wetu hauna future kutokana na kuwa ndugu, nikapata mtu kazini lakini nilishindwa tukarudiana na cousin yangu, baadae ndipo nikampata huyu alienioa, lakini bado sikuweza kumsahau cousin, tunaendelea na uhusiano wetu hadi sasa kwa kuiba.

Nina watoto wawili wa huyu cousin yangu ingawa husband anajua ni wa kwake, hawajafanana sana na cousin yangu lakini ukimuona mtoto wa cousin yangu aliepata na mkewe na hawa mapacha wangu wanafanana kila kitu na huyo wa kule, sio kwamba nilizaa nae kwa bahati mbaya nilimbebea mimba purposely, yaani nilikua kama vile niko obsessed, nilikua kama vile bado naamini ipo siku tutaishi pamoja, lakini kadri miaka inavoenda uwezekano huo unapotea kabisa, ni shetani ndio amekuwa akinidanganya na sio akili yangu
huwa namwambia mume wangu kuwa watoto wamefanana na kule kwa shangazi yangu, Mungu ni wa ajabu, na yeye anasema amina.

Ni kweli kabisa mke wa cousin wangu huwa hatuelewani sijajua kwanini, ingawa hatujawahi kugombana ila ndio hivyo hanipendi kabisa, cousin yangu ameshasema kwa maslahi ya ndoa zetu tuachane for good, lakini kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuondoa moyoni, hata yey epia huwa anasema tu kwa maneno lakini tukionana tunakumbatiana hadi tunalia, naweza kujitahidi hata kwa miezi mitatu mnne lakini baadae nashindwa, namtafuta nambembeleza tunajikuta tumefanya.

Natafuta namna nimuondoe kabisa moyoni tuliache kabisa jambo hili kabla halijaleta madhara kwa pande zote, maana hadi sasa mwingine anaejua suala hili ni dada yake wanaefuatana nae, na ambae ameshatuonya sana tuliache bila mafanikio.

Naomba mnisaidie nifanye nini nivuke jaribu hili.

Asante

Alaaniwe aziniye na ndugu yake....!!! Co maneno yang bal ni maneno ya maandiko matakatifu. Kifup hapo shetan anajidhihilisha yeye na kaz zake kupitia kifumgo icho cha uzinzi na nduguyo. Fanya toba uombe msamaha fanya misa na ibada za kuvunja hii laana na kisha mpokee Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako utaish kwa amani na utasamehewa dhambi zako zote.
 
Nina watoto wawili wa huyu cousin yangu ingawa husband anajua ni wa kwake, hawajafanana sana na cousin yangu lakini ukimuona mtoto wa cousin yangu aliepata na mkewe na hawa mapacha wangu wanafanana kila kitu na huyo wa kule, sio kwamba nilizaa nae kwa bahati mbaya nilimbebea mimba purposely, yaani nilikua kama vile niko obsessed, nilikua kama vile bado naamini ipo siku tutaishi pamoja, lakini kadri miaka inavoenda uwezekano huo unapotea kabisa, ni shetani ndio amekuwa akinidanganya na sio akili yangu
huwa namwambia mume wangu kuwa watoto wamefanana na kule kwa shangazi yangu, Mungu ni wa ajabu, na yeye anasema amina.
Uuuwiiii...... wewe mwanamke utaniua kwa presha, kumbe hawa mapacha siyo damu yangu?
 
I will never marry in my life!

Hii kitu huwa naangaliaga sana, hata kwenye familia yetu! Tupo 10, ila hatufanani wote, tabia, sura ni tofauti kabisa
 
mwanamke anaemcha Mungu yupoje?

Mwanamke anayemcha Mungu ni yule mwenye sifa zifuatazo:
  1. Ni yule anayemuogopa na kumheshimu Mungu
  2. Ni yule anayetii na kuzishika amri za Mungu na anayeogopa kumchukiza Mungu kwa namna yoyote ile.
  3. Ni yule mpenda ibada na ambaye humtanguliza Mungu katika shughuli zake zote kwa sababu anaamini kuwa Mungu ndio kimbilio na nguvu yake na bila ya nguvu na msaada wake, hawezi kitu.
  4. Ni yule mwenye kuombea familia, ndugu na marafiki hata wale wanaowaudhi badala ya kuwaapiza na kuwaombea mabaya.
Hizi ndio sifa za mwanamke au mtu yoyote anayemcha Mungu.
 
utajuaje mtu yupo hivo? hata shetani ni mcha mungu
 
Back
Top Bottom