wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli.
Mimi ni Mtanganyika.
Mimi ni Mtanganyika.
Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli.
Mimi ni Mtanganyika.
TanganyikanKwa kiingereza unaitwaje vile?
Ukiniita mtanganyika ujue "blaza" imeitafuta SHARI.....Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli.
Mimi ni Mtanganyika.


Nje ya Muungano kuna haya :-Kwa pamoja tuseme sisi ni watanganyika, Arusha,mbeya ,singida ,mwanza ,rukwa kotekote tuseme sisi ni watanganyika
#Kataa Muungano, ni utapeli

Hongera sana! Wewe ni Mzalendo wa kweli.Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli.
Mimi ni Mtanganyika.