Nafungua iphone zenye passcode lock na kuondoa icloud

Nafungua iphone zenye passcode lock na kuondoa icloud

S/he can update iOS to remove passcode Agreed, but to remove it from Find my Phone Impossible.
Apple id icloud na find my phone is one package

Umetumia iPhone vizuri kweli.........kwanza find my phone ni option ambayo wengi wanasahau kuweka
 
Tena kwa elf 40 yule jamaa hapana
Yule wa 40 ni tapeli bhana, wadogo zangu maisha ya short cut mabaya. Mm siji bro hata bure, na hata kama utanipa laki na kunifanyia hiyo huduma. Nasema SITAKI, USANII MTUPU
 
unatoa zipi mkuu, maana umesema sio zote
kwa uelewa wangu mdogo kuanzia iPhone 4s kurudi nyuma inawezekana
 
Tatizo la watu weusi hufikiri sawa na ngozi zao. FBI walitaka ruhusa kutoka kwa apple na pia kutopoteza data km calls, sms, photos etc.
Kubypass ni kosa kisheria na kubypass ni km unatumia kitu cha wizi kwahiyo watu wanafanya kwasbb ya kujipatia kipato kifupi umasikini umetutawala. kitu chochote kinachookotwa au kuibiwa lazima kiripotiwe polisi na km ukiiokota kitu lazima upeleke polisi. Kwahiyo FBI wangebypass wangeshitakiwa kwabb wamefanya cybercrime.
Ila wabongo sasa, hapo ndiyo wamekaririshwa. FBI hawajashindwa km watu wanaweza kuhack mashirika makubwa au taasisi kubwa wengine hata siri za jeshi watashindwa Icloud?
Hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua. Hakipo ni suala la muda tu.
Ushajiuliza kwann apple wanaupdate ios zao? Kwann wasiache kuupdate? Hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua. Hiyo Icloud ni issue ndogo tu na inatoka.
Kuna sites na software nyingi tu zinazoweza kubypass hii icloud.
Hongera sana mkuu. Achana ngozi nyeusi hizi na kubisha kwao wala haisadii kutobypass icloud. Piga kazi achana na hawa wapiga kelele
 
Hakuna kinachoshindikana kwenye chini ya jua watu wanatoa na kuwa kama mpya
 
Kuifungua kweli haiwezekani lakini kuiondoa ni kitu rahisi sana
 
kama nilivyosema sio kila IOS inakubali na sifungui icloud ninachokifanya ni sawa na factory reset ya Androids ingawa kwenye iphone data inarudi kwasababu hiyo reset inatumia PC yenye back ups zako sasa kabla data haijarudishwa naweka zingine

FBI wameshindwa kufungua icloud sio kuiondoa wao wanataka wafungue waangalie text calls na info zote ambapo ni lazima wafungue kama vile mwenye nayo
nadhan nmekulewa sana
 
Mleta uzi bado uko uraiani. nina iphone 7 yenye icloud.
 
nafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu yako niishughulikie bei maelewano<br /><br />nikiishamalizana na iphone yako inakuwa mpya bila ownership ya mtu yeyote yule mpaka utakapo sign in na apple id so its safe hautaweza patikana hata kama utaleta uliyoiba au uliyookota<br /><br />my number 0692747618
Polisi anzeni Na huyu anayeshirikiana Na mijizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom