Mkuu kwenye teknolojia kila jambo linawezekana. Sipingani na jamaa moja kwa moja kutokana na wenzetu walio mbele walivyowekeza kwenye issue ya security.Pass code lock yawezekana ukawa unaweza kutoa, lakini issue ya iCloud hapana usiwadanganye na kuwaibia watu, kumbuka kitu pekee kinachofanya cm za i Phone kuwa ghali zaid ni security system yao....... unachozungumza ni sawa na mtu aseme leo nimegundua gradients solutions zitumikazo na kampuni ya cocacola impossible!!
Uzuri jamaa ameweka namba yake kama una hiyo simu mpelekee.