Nafungua duka la nguo leo, naomba msaada

Mkuu hebu iweke sawa hii, malipo yanakuwaje? utatumiwa fedha kabla ya mzigo kufika au baada ya mzigo kufika
Malipo tutaelewana tu, kwa mfano kila pc 1 ukinilipa tsh 500, inatosha kabisa, kwa mfano jeans km inauzwa tsh 17000 tutafanya 17500, kwahiyo km utachukua mzigo utafikia pc 100 maana yake mi nitachukua km ts 50,000. Hii ni mfano tu.
 
Huyu hajajiandaa kwa lolote, kwa mawazo yangu. Umeona hayo aliyouliza? Hivi inakuingia kwenye akili mtu anayesema anafungua duka la nguo leo kuuliza hayo aliyouliza? Hayo ndiyo mambo aliyotakiwa kufanyia utafiti hata kabla ya kufanya uamuzi wa kufungua duka la nguo. Tanzania hizi biashara nyingi ndogo hufa kwa sababu hii. Mtu akitembea mitaani, akiona biashara yoyote iliyopendeza macho yake anakimbilia kwenda kuifanya bila utafiti wowote.

🙌🙌🙌🙌! Ngachoka
 
Habari zenu waungwana,
Natarajia kufungua duka la nguo siku ya leo mkoa wa Manyara , wilaya ya Babati ( Magugu)

Naomba msaada wa yafuatayo:-
Natarajia kwenda Dar wiki ijayo, mwenye connection na wauzaji wa jeans na track kwa jinsia zotekwà bei ya jumla.

Pia mwenye connection ya wauzaji wa viatu vya special vya kisasa kwa jinsia zote bei ya jumla pia.

Pia connection kwa wauzaji wa nguo na viatu vya mtumba grad one, lakini hizi tachukua kwa awamu ya pili baada ya kurudi tena kuchukua mzigo.

Pia naomba connection ya usafiri mimi pamoja na mizigo, au ushauri njia ipi ni nzuri kwa kusafirisha mizigo yangu kwa usalama na nafuu.

Ratiba yangu natarajia kuondoka alhamisi tar 20 usiku na kugeuka kurudi huku tar 23 jumapil mwezi huu wa August.

Nitashukuru kwa atakayenipa ushirikiano [emoji122]

Ushauri tu:

1. Mnaosoma haya angalieni na Chungeni maana mnaweza kulizwa, kama huyu ndugu si mtu mzuri, kama ni mzuri then.......

2. Chunga sana na uwe makini ndugu maana kama wewe ni mtu mwema unaweza kulizwa mtaji wako na hawa unaowaomba msaada!
 
Malipo tutaelewana tu, kwa mfano kila pc 1 ukinilipa tsh 500, inatosha kabisa, kwa mfano jeans km inauzwa tsh 17000 tutafanya 17500, kwahiyo km utachukua mzigo utafikia pc 100 maana yake mi nitachukua km ts 50,000. Hii ni mfano tu.
Mmbongo hawezi kubali hilo kamwe, ulitakiwa umpige hela kimya kimya umuuzie hio bei ya cha juu bila yeye kung'amua lolote!!!

Kama akikubali hizo terms njoo nikupe bia.
 
Ushauri tu:

1. Mnaosoma haya angalieni na Chungeni maana mnaweza kulizwa, kama huyu ndugu si mtu mzuri, kama ni mzuri then.......

2. Chunga sana na uwe makini ndugu maana kama wewe ni mtu mwema unaweza kulizwa mtaji wako na hawa unaowaomba msaada!
Muhimu: haupaswi kumuamini mtu yeyote, tutatumia njia ambazo hazina shaka kwa upande wowote.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Mmbongo hawezi kubali hilo kamwe, ulitakiwa umpige hela kimya kimya umuuzie hio bei ya cha juu bila yeye kung'amua lolote!!!

Kama akikubali hizo terms njoo nikupe bia.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hata mi nimeluona hili

Mbongo inatakiwa umpige bila kumwambia ukweli
 
Huyu hajajiandaa kwa lolote, kwa mawazo yangu. Umeona hayo aliyouliza? Hivi inakuingia kwenye akili mtu anayesema anafungua duka la nguo leo kuuliza hayo aliyouliza? Hayo ndiyo mambo aliyotakiwa kufanyia utafiti hata kabla ya kufanya uamuzi wa kufungua duka la nguo. Tanzania hizi biashara nyingi ndogo hufa kwa sababu hii. Mtu akitembea mitaani, akiona biashara yoyote iliyopendeza macho yake anakimbilia kwenda kuifanya bila utafiti wowote.
Wala hilo duka hafungui
 
Back
Top Bottom