hongera sana, next time kumbuka kuanza neno Mungu kwa herufi kubwa, if at all unamaanisha Mungu mkuu.Hatimae yametimia mda si mrefu nitafunga pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu
Karibuni sana ndugu zangu na marafiki zangu
Itakua tarehe 27/8/2017
Dar es salaam
Naomba mungu anisimamie niweze kulitimiza jambo hili kwa uwezo wake pia aendelee kuilinda ndoa yangu
Karibuni sana
Usichepuke ndoa ipate kudumuHatimae yametimia mda si mrefu nitafunga pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu
Karibuni sana ndugu zangu na marafiki zangu
Itakua tarehe 27/8/2017
Dar es salaam
Naomba mungu anisimamie niweze kulitimiza jambo hili kwa uwezo wake pia aendelee kuilinda ndoa yangu
Karibuni sana