Mandela Kato
Member
- Sep 11, 2018
- 14
- 4
Samahani sijakuelewa apo,but kiujumla ni masomo ya lugha na sanaa (kiingereza in particular)Hakuna masomo ya arts kiingereza
Kuna mchungaji mmoja aliambiwa afunge mkutano kwa sala (english) ikawa issue ! Mtafute umpe tuition ya nguvu
...
Sent using Jamii Forums mobile app
it all depends on your linguistic demands, if ready come on the lineOkay okay what you start teach me your
pupil?
Mwalimu wa Kingereza (Lugha), ambaye umesoma masomo ya sanaa; haujui hata sehemu unapopaswa kutumia alama za uandishi?Habari wana JF...
Kama ninavyotambulika, ni Mandela Kato, Mwalimu mbobezi katika masomo ya sanaa hasa somo la KIINGEREZA, mawasiliano na kimasomo;
Nachukua fursa hii kukukaribisha wewe utakayekuwa na uhitaji wa Huduma hii aidha wewe mwenyewe au mwanao/wanao,..tunaweza kufanya makubaliano ya kujifunza online (kwa njia ya mtandao) au kwa njia ya kawaida;
Zaidi ikiwa kuna wanafunzi wanaosoma masomo Saba (7) O'level (arts pure) kuna huduma nzuri kwaajili yao, Ninakukaribisha Sana
Namba yangu ni 0763126091(Watsapp na kawaida;text and calls)....
Elimu yangu Elimu yako, karibu tuwasiliane vizuri kwaajili ya Elimu yetu
Hii ni advert, najua vizuri kanisa test my capabilities if possible
Mwalimu wa Kingereza (Lugha), ambaye umesoma masomo ya sanaa; haujui hata sehemu unapopaswa kutumia alama za uandishi?
What part of speech is an "advert"?
What is the difference between an advert and advertisement?
You are right,you are rught
Do you think the use of "hii ni advert", in the above post, is a right grammar and or structure?