Nafundisha mahesabu ya solar

Nafundisha mahesabu ya solar

cyber ghost

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
239
Reaction score
162
Kwa anaehitaji kujua hesabu za namna ya kupata size ya
Panel
Battery
Charge conltroller
Inverter
Cables
Vyote hivyo nafundisha kwa kiwango cha juu kabisa kwani ninauzoefu mkubwa katika kufunga mitambo mikubwa ya solar na kampuni ya Schneider electric ya ufaransa.
Pia kwa anaehitaji program niloitengeneza mwenyewe kwaajili ya kufanya solar pv system sizing ninayo nakufundisha na namna ya kuitumia pia kwa gharama nafuu
 
Turn your knowledge into entrepreneurship.
Good broo.

Iyo program ni ya Android (apk) wandows (exe) au ipo kwenye excel
 
Sekta nzuri hii Mkuu anza uzalishaji ningekuwa wewe duuuh ila kama tatizo mtaji tushauriane kitu
 
Changamoto watu hawapendi hesabu wanajuwa wao ni kuona taa ikiwaka tv ikionyesha taarifa ya habari simu zikuwa na charge!!
 
Yes mkuu matatizo makubwa kwenye mifumo mingi ya solar kwa sasa hayatokani na ubovu wa vifaa vya solar bali ni kwamba mtumiaji anataka kutumia zaidi ya kinachozalishwa na system yake ya solar mwisho wa siku anajikuta hapati kile anachotarajia.

So step ya kwanza kabisa unapofikiria kufunga mfumo wa solar nyumbani kwako ni kufanya load analysis ya vifaa vyako vyote utakavyovitumia. Hapa ukikosea uka under size system yako itakusababishia pia kukosa umeme wakati mwingine, pia uki over size system yako utakuwa unazalisha kiasi ambacho hukitumii so utakua umepata hasara ya pesa kununua vitu vya zaidi ya unachotumia labda tungekuwa na mfumo wa net metering ingekusaidia maana hiyo power ya ziada ungeirudisha back to the grid and u get paid for that ila kwasasa hatuna huo mfumo kwa Tz so utakuwa unapoteza kiasi kikubwa cha power.

Changamoto kubwa kwa watumiaji wengi wa solar unakuta anaenda mwenyewe dukani ananunua lets say 60Wp panel halafu ndio anamuita fundi aje kufunga, sasa unachojiuliza huyu mteja amejuaje kuwa mahitaji yake ni panel ya 60Wp??
 
Hicho kitu asilimia kubwa hawafanyi kutokana na uchumi anakuta mteja anakuja kwako akiwa na wazo la kuwa na solar yenye uwezo wa kuwasha taa 4 tuu baadae anasahau ukubwa wa solar aliyokuwa nayo kwenye pitapita zake anakutana na subwoofer ya solar na kwenda nayo kutumia baada ya muda anakuja kwako na kukuambia solar uliyonifungia haina nguvu!!
Mtu kama huyu unamsaidiaje!
Yes mkuu matatizo makubwa kwenye mifumo mingi ya solar kwa sasa hayatokani na ubovu wa vifaa vya solar bali ni kwamba mtumiaji anataka kutumia zaidi ya kinachozalishwa na system yake ya solar mwisho wa siku anajikuta hapati kile anachotarajia.

So step ya kwanza kabisa unapofikiria kufunga mfumo wa solar nyumbani kwako ni kufanya load analysis ya vifaa vyako vyote utakavyovitumia. Hapa ukikosea uka under size system yako itakusababishia pia kukosa umeme wakati mwingine, pia uki over size system yako utakuwa unazalisha kiasi ambacho hukitumii so utakua umepata hasara ya pesa kununua vitu vya zaidi ya unachotumia labda tungekuwa na mfumo wa net metering ingekusaidia maana hiyo power ya ziada ungeirudisha back to the grid and u get paid for that ila kwasasa hatuna huo mfumo kwa Tz so utakuwa unapoteza kiasi kikubwa cha power.

Changamoto kubwa kwa watumiaji wengi wa solar unakuta anaenda mwenyewe dukani ananunua lets say 60Wp panel halafu ndio anamuita fundi aje kufunga, sasa unachojiuliza huyu mteja amejuaje kuwa mahitaji yake ni panel ya 60Wp??
 
Hicho kitu asilimia kubwa hawafanyi kutokana na uchumi anakuta mteja anakuja kwako akiwa na wazo la kuwa na solar yenye uwezo wa kuwasha taa 4 tuu baadae anasahau ukubwa wa solar aliyokuwa nayo kwenye pitapita zake anakutana na subwoofer ya solar
Et subwoofer ya solar
 
Mafundi wengi wa solar ni wababaishaji,kuna jamaa anajitangaza kwamba yeye ni fundi wa solar na bla bla kibao katoa minamba kibao ya cm ukimfata PM na kumuuliza maswali ya kiufundi hajibu,wengi ni tantalila matapeli wakijua ni mjanjamjanja wanakupotezea huo wanawakamata "WASHAMBA".
 
Back
Top Bottom