kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,317
- 4,118
Sawa mkuu.ukianza kufundisha kijaruo usinisahau
Muy bien, y tu???cómo estás.....
Kwa yeyote mwenye interest na kujifunza kihispania. Kuna teknolojia ninayotumia kukufundisha misamiati, matamshi,nyakati, miundo ya sentensi na miktadha ya utumizi wa lugha hii kwa ujumla na unaelewa kwa ufasaha zaidi. Hili linawezekana hata ukiwa mbali siyo lazima tuwe tunakutana unakaa darasani japo hata ukitaka kukaa darasani sawa tu.
Ukihitaji njoo PM.
de nada....
¿Estás seguro?Muy bien, y tu???
Lugha ya Ki Hispania ni rahisi sana coz imekaa kama Kiswahili. Unachoandika ndio unachotamka unlike French .U only gotta play with tenses and gender sensitive words!!!
Extraño a mi profesora, Descansa en paz!!!!
cómo estás.....
Kwa yeyote mwenye interest na kujifunza kihispania. Kuna teknolojia ninayotumia kukufundisha misamiati, matamshi,nyakati, miundo ya sentensi na miktadha ya utumizi wa lugha hii kwa ujumla na unaelewa kwa ufasaha zaidi. Hili linawezekana hata ukiwa mbali siyo lazima tuwe tunakutana unakaa darasani japo hata ukitaka kukaa darasani sawa tu.
Ukihitaji njoo PM.
de nada....
Kuna model mbalimbali za ufundishaji ambazo gharama zinatofautiana.Weka wazi gharama zako