Nafundisha Gitaa bure!

tumuombe nape ajitolee kufundisha,wanafunzi tunaohitaji kufahamu ni wengi mno
 
Gitaa na nundu ya vidole hakuna namna upo wapi Mkuu nitaweza kweli kucharaza gitaa kama Diblo Dibala?
Kie Kie Kie Kie mkuu pattern za diblo hazikamatiki
 
Najaribu kk pm inataa mkuu
 
Hi. napenda kujifunza gitaa. ninalon. nipo dar. naomba mawasiliano yako nikutafute. au nipigie 0784 821973
 
Samahani mkuu..ivi kwa mfano Una vidole vitatu vya kushikia nyuzi yaani vya mkono kushoto unaweza kujifunza na kulupiga maana Nina rafiki yangu ana vidole vitatu vya kushoto na anatamani alijue hiloo guitar
 
samahani mkuu ivi kwa mfano Una vidole vitatu vya mkono wa kushikia nyuzi....nina maana mkono wa kushoto,je ,Unaweza ukalipiga Hilo guitar maana Nina rafiki yangu kidole kimoja hakipo alafu anatamani kulipiga...
 
Inawezekana mkuu
 
Natamani kujua gitaa for fun niwe naimba country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…