Nafundisha Advanced Mathematics

TOHATO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,253
4,192
Kuna Siku niliomba ushauri wa wapi naeza pata shule au centre ya kufundisha Mathematics au Physics Kwan hapa Dar....

Nimepata vijana wawili wanaitaji somA topics zote za form five so kama nawe una ndugu yako anahitaji soma hivyo nicheki PM tujuzane... Ninaufaulu Mzuri wa Advanced Mathematics na Nina uzoefu mkubwa na bei yangu ni nafuu.....

Niko hapa Udsm
Bodi ya mkopo hawakunifadhili japo nasoma ualimu wa science.. So najua kuomba ufadhili wa kusomeshwa ni ngumu natumia mbinu kama hii ili nikusaidie man unisaidie.....
Pia ushauri wenu waeza nipa wapi naeza pata shule naeza fundisha in time au centre
 
nahitaji kusoma topic zote za advance matheematics mimi ni private candidate natarajia kufanya mtihani mwaka huu may namba zangu ni 0716457094
 
nahitaji kusoma topic zote za advance matheematics mimi ni private candidate natarajia kufanya mtihani mwaka huu may namba zangu ni 0716457094

Si Kakwambia um-PM aka Inbox!!! Mbona Madogo Muna Mawenge hivi...
 
ume win mkuu maana walimu wa sanaa matumbo joto now....
Yaaan hata Mwalimu wa science asje kujitapa mana hadi miaka 3 ijao hizo ajira zaeza potea... Ni kutafuta uzoefu wakat wasoma mana kaz za praivert zataka una uzoefu gan na ufaulu mzuri
 
Yaaan hata Mwalimu wa science asje kujitapa mana hadi miaka 3 ijao hizo ajira zaeza potea... Ni kutafuta uzoefu wakat wasoma mana kaz za praivert zataka una uzoefu gan na ufaulu mzuri
kwer ndugu kwa sasa naona tunaisogelea kenya na naigeria wasomi lukuki hakuna ajira ndo vendor ana masters kondacta ana diploma ama degree mara ffu ana masters miaka 5 mbele..
 
kwer ndugu kwa sasa naona tunaisogelea kenya na naigeria wasomi lukuki hakuna ajira ndo vendor ana masters kondacta ana diploma ama degree mara ffu ana masters miaka 5 mbele..
nakumbuka mheshimiwa akiwa na PHD alimlilia mzee wa nchi ampe kaz mana hana pa kwenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom