Ukikosa mchongo kwenye hiyo diploma ya meno utaenda kusomea nini tena?Habari ya muda wadau wa elimu.
Mimi ni kijana wa miaka 26 na nina Diploma ya Clinical Medicine ambayo nimehitimu 2020..tangu nipo mtaani kufanya kazi sehemu mbali mbali(vijiwe) nimejikuta sina chochote cha maana ninachofanya kwa sababu malipo madogo na kazi zenyewe za kubabaisha sana.
Nina rafiki yangu yeye ni ana Diploma ya meno na tulimaliza wote mwaka mmoja ajabu mpaka sasa ana mafanikio makubwa sana kwanza anapofanya kazi ana thaminiwa na anapewa hela nzuri si chini ya laki 9 kwa mwezi(yeye hulipwa kwa kichwa).Kiufupi ana maendeleo makubwa kiasi mpaka ananihurumia mimi Tabibu wakati tulipokua tunasoma nilikua najiona niko juu sasa niko vibaya kiuchumi.
Kijiwe ninachofanya kazi na vijiwe mbali mbali nilivyopita hakuna mshahara unalipwa kutokana na uanchoingiza unajikuta kwa mwezi unapata kiasi cha 200k-280k na unakopwa juu na ajira za serikali nimeomba nimeangukia pua.
Sasa wazo nililopata ni kusoma hiyo C.Dentisry je, kwa ufaulu wangu huu nilio nao wa Physics C,Bios B ,Chemistry C naweza kupata chuo cha serikali nikajiuma tena kwa miaka 3 na huku nikitumia cheti changu cha C.O kujikidhi mahitaji?
NB;Sifikiri Digrii ya Udaktari kwa sababu ya Hela kua kubwa,ushindani mkubwa na GPA yangu nadhani siwezi kukompiti...
Naomba ushauri katika hilo je,nipo sahihi au nimevurugwa nahitaji ushauri wa kitaalamu[emoji16].
Matusi sitaki naomba ushauri
Nasimama hapa.Kosa lako ni kujilinganisha na huyo rafiki yako.
Dogo alitambua kipaji chake akafanya maamuzi bila kushurutishwa.Nasimama hapa.
Mtoa mada hujasikia yule dogo wa Mtwara aliyemlima mwl barua ili aache masomo?
Mbona unavijineno vya kukatisha mtu tamaa km una ushauri kaa kimyaWatu mnachekesha Sana, badala ya kusomea teknolojia uwe na uwezo wa kufikiri mkubwa unawaza kusomea jino, khaaaaaaa. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
😂😂😂😂😂😂Ukweli siku zote unauma sasa utasomeaje jino kama sio ushamba wa dunia. Tena kasomee tu Ukraine hilo jino.Mbona unavijineno vya kukatisha mtu tamaa km una ushauri kaa kimya
Muhimbili Wanatoa Dental laboratory technologistWatu mnachekesha Sana, badala ya kusomea teknolojia uwe na uwezo wa kufikiri mkubwa unawaza kusomea jino, khaaaaaaa. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kozi ya meno inahusisha vitu vingi..magonjwa yote ya kinywa,kung'oa meno,kuziba na kuweka ya bandia uhitaji mkubwa sana kama hujawahi kukaa sekta hii huwezi elewa.kingine mimi afya ndo ndoto yangu kwingine sitawezaWatu mnachekesha Sana, badala ya kusomea teknolojia uwe na uwezo wa kufikiri mkubwa unawaza kusomea jino, khaaaaaaa. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Siwezi kukosa mchongo Meno inahitajika sana na kwakua nina lengo la kujiajiri nitatumia C.O na Dental kufanya makubwa kwa wakati mmoja.Ukikosa mchongo kwenye hiyo diploma ya meno utaenda kusomea nini tena?
Inaweza ikawa kweli ila nadhani sasa ni lazima nijinasue hapa nilipo kwa namna yoyote ile.Kosa lako ni kujilinganisha na huyo rafiki yako.
Daktari nipe ushauri ndugu yangu nategemea ushauri bora kutoka kwako.Nasimama hapa.
Mtoa mada hujasikia yule dogo wa Mtwara aliyemlima mwl barua ili aache masomo?
Ni kweli ila nitakua na fani mbili zote zitanipush kua na mafanikio.Write your reply...mafanikio hayatokani kozi bali mindset yako,tumie CA kuvumbua kipato chako nje ya kuajiriwa,ulishawah kujiuliza siku rafki yako huyo centre aliyoajiriwa ikipata vichwa vichache zaidi atandelea kupata 900
Ushauri wako nimependa ngoja nije Pm unipe nondo mkuu.Muhimbili Wanatoa Dental laboratory technologist
Ukiwa free ulizia Bei ya dental implants na teeth braces kwa Bei ya hapa Nyumbani tuuu
Kisha uwe huru kuidogosha fani ya Afya ya kinywa na meno
Shule ya msingi nilikuwa mwanafunzi pekee niliyechaguliwa kwenda kusoma shule ya Bweni ya wavulana nje ya mkoa wangu.Daktari nipe ushauri ndugu yangu nategemea ushauri bora kutoka kwako.
Elezaneni hapa, tunachoandika wapo wanafaida kwa kusoma hata kama hawasemi chochoteUshauri wako nimependa ngoja nije Pm unipe nondo mkuu.