Mswati Original Member Joined Sep 9, 2014 Posts 59 Reaction score 22 Jan 19, 2015 Thread starter #21 Kill 3 said: badilika mapema. Click to expand... Poa mkuu ngoja nifanye mchakato!
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,886 Reaction score 40,068 Jan 19, 2015 #22 Hutaacha uzinzi mpaka siku utakapo uvaa ubinaadamu wako na kutambua thamani ya jasho lako na fedha zako...
Hutaacha uzinzi mpaka siku utakapo uvaa ubinaadamu wako na kutambua thamani ya jasho lako na fedha zako...
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,112 Reaction score 110,861 Jan 19, 2015 #23 Nakumbuka msemo wa TABIA HAINA DAWA. Kumbe kizazi cha .com wamegundua dawa ya TABIA..!!
Mswati Original Member Joined Sep 9, 2014 Posts 59 Reaction score 22 Jan 19, 2015 Thread starter #24 KikulachoChako said: Hutaacha uzinzi mpaka siku utakapo uvaa ubinaadamu wako na kutambua thamani ya jasho lako na fedha zako... Click to expand... Mkuu mbona unanikatisha tamaa hivyo mkuu wakati nimeamua kubadilika mwenzio!
KikulachoChako said: Hutaacha uzinzi mpaka siku utakapo uvaa ubinaadamu wako na kutambua thamani ya jasho lako na fedha zako... Click to expand... Mkuu mbona unanikatisha tamaa hivyo mkuu wakati nimeamua kubadilika mwenzio!
Mswati Original Member Joined Sep 9, 2014 Posts 59 Reaction score 22 Jan 20, 2015 Thread starter #25 BADILI TABIA said: Almanusra nidhani unaniita Click to expand... hahaaa vp wewe umebadili
Makiri Unguluma JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 987 Reaction score 335 Jan 20, 2015 #26 Sasa wateja wako waliokuwa wanaishi mjini kwa hela yako utamwachia nani rafiki. Zungumza nao wajiandae kisaikolojia au waende kwa waganga ili shetani awaandalie wateja wengine vinginevo kurudi kijijini tena itakuwa shida.
Sasa wateja wako waliokuwa wanaishi mjini kwa hela yako utamwachia nani rafiki. Zungumza nao wajiandae kisaikolojia au waende kwa waganga ili shetani awaandalie wateja wengine vinginevo kurudi kijijini tena itakuwa shida.