Mswati Original
Member
- Sep 9, 2014
- 59
- 22
Asante kwa taarifaa, usisahau kupita VTC.
Baada ya tafakari ya muda mrefu juu ya matumizi yangu ya fedha hakika ni mwendo wa lodge na kuhonga ambapo ni kama 3/4 ya base salary yangu na ni hasara sana kwa maendeleo yangu! Inaniuma sana kwa sababu nimewekeza zaidi kwenye papuchi kuliko maendeleo. Hii ni baada ya kujitafakari sana sasa nimeamua kubadili tabia na kuacha hii tabia; kazi ni hii ishu ya kubaki njia kuu, je ni ipi kati ya hawa waliopo.?
NApita tu nitarudi badae
Vocational Training Centre ukapate ujuzi wa kutengeneza vitanda..
Volunt.Cancel.Test
Asante kwa taarifaa, usisahau kupita VTC.
Siku zote nikiwa na abiria nisiyemwamini huwa navaa Helmet kujikinga na ajali! Bad/Lucky enough nategemea mtoto wa pili sasa hapo ndo napoanza kuogopa na kurudi nyuma!
Tena rudi nyuma haswaaaaaaaaaaa.