Ushauri wako ni mzuri lakini inategemea na aina ya mtu. Wewe unaweza kuwa mchapakazi na mbunifu hata pale unapokwama kabisa lakini kuna watu wengine inawawia vigumu mno. Ndiyo maana umetowa huo mfano wa dada aliyekopa mil 400 lakini hakufanikiwa. Hii inamaanisha kuwa formula ya mafanikio sio moja kwa kila mtu. Huyu mwanzisha thread nilivyomsoma nadhani itakuwa vizuri sana kama ataendelea na kazi na hapo hapo atafute kitu cha kufanya baada ya kazi. Kuna mdau ameshauri bustani, jambo ambalo naona ni zuri na rahisi kwake. Unajua ujasiriamali ndugu yangu kila mtu ana kipaji chake. Kwa jinsi aliuliza na kujieleza tu naona anaweza ku-straggle sana kama ataamua kuacha kazi ghafla. My verdict: atafute kitu cha kufanya baada ya muda wa kazi na weekend na aendelee na kazi mpaka atakapoona ujasiriamali umekaa vizuri.
Jamani mnaongea tu lakin ajira za watu siku hiz manyanyaso n mengi na pia haikidh mahitaji ya mhusika.....kila siku mnasikia watu wanapunguzwa makazini....!!
Ajira siku hzi hazina guarantee maan waajiri wanatafta njia ya kupnguza wafanyakazi daily....!!
Kkubwa jamaa ajipange kwanza....tena ajipange kweli...apige hesabu anachtaka kukifanya....asikilize ushauri wa walomtangulia....kama maslahi yapo then ruksa
Ushauri wangu mkuu naomba tu usiache kazi....waweza Fanya biashara huku unapiga kazi....ndugu hiyo biashara kwa kuwa ni mwanzo inaweza kuwa ngumu ambapo kama umeacha kazi maisha yanaweza kuwa tough zaidi so fanya vyote mkuu...biashara ikikaa sawa ndo waweza hamia direct sasa...
Jomba kuacha kazi ni ugonjwa unaotutesa wengi ila tafuta wazo zuri la biashara la mtaji wa 8k nikuonyshe pa kupata mtaji huo kweny tasis nzuri ya pesa kama mwajiri wako ataweza kukupa barua ukope ulipe ndani ya miez 6 utaweza kunikwamua

Pole sana mkuu ila naona hiyo pesa ndogo sana kuanza na kuacha kazi, Fanya kazi endelea kuwekeza angalau hata M2+ uwekeze kwenye mgahawa wa chakula na vinywaji, najua kwa dar vinalipa sana, ila hiyo hela ndogo kwa kuacha kazi.
Samahani kama nitakua nimekukwaza, ila niseme tu wazi HUU NI UWOGA mimi mwenyewe nishawahi kua katika hali ya namna hii ya kusubiria hela ijae ijae ndipo niache kazi ukiwa na target hizo 95% hutaacha kazi. Cha msingi kama kweli ameamua na ujasiri huo anao just move on laki 5 ni nyingi sana. Si wengine tukisema kiasi tulichoanza nacho mtatucheka hapa lakini maisha yanasonga mdogo mdogo tutatoboa tundu!