Kwani kuna shida gani kama unafahamu ofisi ilipo kumwelekeza huyu ndugu; ametumwa na nani? Kwnai hizo ofisi zina nini? Kwani nini kuleta majibu ya kujihami; hii inaweza kupelekea watu kuamini kwamba CHADEMA ni chama cha Kimafia, hata ofisi hazipaswi kuwekwa bayana.