NAFASI ZIMETOKA

NAFASI ZIMETOKA

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
269
Reaction score
250
NAFASI CHACHE ZA SHULE
Je,wewe ni Mwanafunzi wa kidato cha Tatu uliyekwama kuendelea na masomo au unaetafuta shule ya boarding? au umekwama kwa namna yoyote ile na unahitaji msaada kwa ajili ya kuendelea na masomo? Ndoombo Sekondary kupitia wafadhili wao wanazo nafasi chache za msaada katika masomo. Shule ipo Arusha - Tengeru. NI KWA KIDATO CHA TATU TU (wanafunzi 8 wa bweni tu). Mawasiliano: 0753664489
 
shule inaitwa Ndoombo alafu unasoma bure duuuh wacha nipambane na hali yangu lakini sio kusoma Ndoombo bure
*virginboy*
 
Back
Top Bottom