nafasi za uhadhiri UDOM

M

majeshi 1981

JF-Expert Member
2,093
1,500
Wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini UDOM watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii
 
F

Flammable

JF-Expert Member
875
0
Wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini UDOM watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua
 
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua.KWAN MPAKA UDOM TU??
 
DULLAH B.

DULLAH B.

JF-Expert Member
672
195
wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini udom watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? Ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii
ww profesa mlacha?
 
M

majeshi 1981

JF-Expert Member
2,093
1,500
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua.kwan mpaka udom tu??
mkuu acha chuki binafsi nchi hii ni ya kwetu sote, mnafukuza angali nasikia chuo kizima vijana wa kitanzania wanafundishwa na degree holder wenzao?
 
M

majeshi 1981

JF-Expert Member
2,093
1,500
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua.KWAN MPAKA UDOM TU??
UDOM ndiyo chuo pekee Tanzania chenye kilio kikubwa cha upungufu wa wahadhiri wenye sifa katika nchi hii
 
M

majeshi 1981

JF-Expert Member
2,093
1,500
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua
mnawatimua kwa sababu siyo vitukuu wa mtume au? maana nafahamu vizuri UDOM upungufu wa wahadhiri wenye sifa uliopo ni majanga
 
Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom