Nafasi za Ualimu shule ya English Medium(Nur& Pr)

Lilian Wasira

Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
86
Reaction score
93
Natangaza nafasi za ualimu katika shule ya Queens' Academy iliyopo Ukonga Sitakishari. Shule hii kwa miaka miwili mfululizo imepasisha watoto wote na imepewa cheti cha ushindi. Wale wenye uwezo na uzoefu wa kufundisha na pia wale wenye watoto tuwasiliane kupitia namba 0719 604156. " In the Course of Pursuing Exellence We Lead"
 
Qualification? packaging zenu zipoje?
 
Natangaza nafasi za ualimu katika shule ya Queens' Academy iliyopo Ukonga Sitakishari. Shule hii kwa miaka miwili mfululizo imepasisha watoto wote na imepewa cheti cha ushindi. Wale wenye uwezo na uzoefu wa kufundisha na pia wale wenye watoto tuwasiliane kupitia namba 0719 604156. " In the Course of Pursuing Exellence We Lead"
nakuja mwaya ila tu nataka salary nzuri
 
Back
Top Bottom