Tunahitaji walimu wa Cambridge curriculum kwaajiri kufundisha home schooling. Pia mtaaalamu wa music and keyboard
Note: kabla hujaomba tafadhali hakikisha wewe ni expert wa Tangazo tulilotoa
1.Mwalimu wa Biology Advanced level Cambridge curriculum.
2.Mtaaalamu wa music and keyboard kwa kila wiki kufundisha on weekends (Saturday and Sunday)
Location:.Upanga Daresalaaam .
Mwisho wa hili Tangazo ni jumamosi tarehe12 july 2025 saambili kamili usiku.
Mawasiliano:Whatsapp sms kupitia ๐๐ผ๐๐ผ
0659169709/0748650405