Hivi hizi nafasi ziliishiaga wapi? Mana mpaka leo kimya!! Hizo nafasi hawakuzitoa ktk tangazo lao la usaili, alaf mpka Leo hakuna maelezo yoyote kutoka kwao. Ajira za tz!!! Mmh!!! Taasisi ya umma inafanya uhuni namna hii?!!!!
Hyo station assistant? Mliitwa vipi?intervieew ishafanyika ilikuwa DUCE, na oral pia ishapigwa nahisi asa hv watu washaingia kazini. mi nliishia written
Nadhan utakuwa umechanganya na customer support, waliofnya duce ni customer support. Station assistants hawakuitwa kabisaintervieew ishafanyika ilikuwa DUCE, na oral pia ishapigwa nahisi asa hv watu washaingia kazini. mi nliishia written
walitoa kwenye gazeti na web yao www.dart.go.tzHyo station assistant? Mliitwa vipi?